Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tafadhari, et kwa mtoto wa kiume ukikaa mda mrefu bila kufanya ngono kuna matatzo unaweza kuyapata?
0 Reactions
5 Replies
879 Views
Baada ya kuwasikiliza kwa makini watumishi wengi wa Mungu wamekuwa wakisema mwanamke fulani katika maisha yako ndio amekuwa kikwazo katika kuwa na maendeleo na mwelekeo ulio chanya kwenye maisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa jina naitwa Kontelo, Nina miaka 27. Nimemaliza form 6 mwaka jana kwa bahati mbaya matokeo hayakuwa mazuri sikuweza kuendelea na chuo, bado nipo mtaani najishuulisha na kazi ndogo ndogo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni msichana wa miaka 27 nina mtoto natafuta mume nimechoka kuumizwa
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimemaliza chuo mwaka huu na nimeshapata kazi tayari. Naomba dada mwenye umri wa chini ya miaka 25 aliyetayari kuolewa na anajijuwa ni mzuri awasiliane nami kupitia chandesamwely@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ujue humu duniani kuna sentensi nyingi sana lakini kuna sentensi moja adimu Miongoni Mwa Watu wafuatao . KWA WANAO TAFUTA WACHUMBA ,Sentensi hii wengine hutumia muda mwingi kuwaambia wale...
1 Reactions
42 Replies
15K Views
Juzi kati nilitoa post ya demu wa mshikaji tunaesoma nae hapa chuo ambaye nilifanikiwa kumgegeda baada ya kuja gheto ku type group assignment,demu aliniahidi kumwacha mshikaji na kweli demu...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Wakuu hii ni jumapili, tusichoshane! Hope sio peke yangu niyewahi kuambiwa kuwa kuna madhara kutumia mashine ya umeme kunyolea ''sehemu za siri''. Kwamba mashine hizi zinapunguza nguvu za kiume...
0 Reactions
42 Replies
13K Views
Haloo wana jf nimejitokeza kutafuta mchumba anaeishi, jamvini sifa awe muislam, anaeishi zanzibar umri kuanzia miaka 20-45 kwa mawasiliano zaid nitafute hapa naomba alieserious 0773584154
0 Reactions
10 Replies
1K Views
How did u do this to me?how can we raise jenny in good morals..nilikupenda sana lakini kwa hii video...i am sory!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Your Husband Should be Your Best Friend Your husband should be your FRIEND, absolutely. You need to spend time together everyday just doing something, so you can talk. But you know what, ladies...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU..!! Miaka miwili iliyopita nikiwa nasoma chuo morogoro nilijikuta kwenye mahusiano na msichana flani aliekuwa ananizidi umri kama miaka mi3 hivi. Mim nilikuw 24yrs na yeye...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Imezoeleka wakati wa kufunga ndoa kumuona bi harusi akitokwa na machozi. kitendo hicho wengi wanashindwa kukipa tafsiri kama ni kilio cha furaha au cha kulazimishwa ndoa na mwanaume ambaye si...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Mfano unamwambia mepenzi wako wa kiume nimeota ndoto usiku nafanya mapenzi na kaka yako au mpenzi wako wa kiume anakuambia ameota ndoto anafanya mapenzi na mdogo wako wa kike. Au kuelezena stori...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa hope mnaendelea vizuri na Ujenzi wa Taifa poleni mliokumbwa na majanga ya mafuriko pya! Nina swali wenzangu mnisaidie au kama una uzoefu Ni kama mara mbiliinatokea tukiwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Inashauriwa kuwa Serikali ianzishe mpango wa kutoza kodi changudoa (madada poa) kwa kutumia mashine za EFD ili kuweza kukunya mapato ya kutosha ambayo yanapotea bure kwani wanapata wateja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mie ninavyoona life ya sasa hivi,, Ukipata mwanaume/mwanamke anaekupenda kwa dhati,akakuheshimu,akakutunza hata kama ana migegedo mingine we kaa tuliza mshono uache maisha yaendelee coz ukosema...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu wana-MMU!! Kwanza natanguliza pole zangu kwa wale wote waliofikwa na maafa ya mafuriko na hata wengine kupoteza maisha!! Nasema poleni sana! Back to the topic,. Nimekuwa...
2 Reactions
61 Replies
5K Views
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri! Siku hizi sioni andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa...
1 Reactions
219 Replies
83K Views
Back
Top Bottom