Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
MAHABA NIUE,KICHWA KUUMA,MIGUU KUTETEMEKA.
Unakuta kuna babe umempenda sana na unakuwa na hamu ya kuchat nae kwa sms au hata whatsapp.
Tatizo ni chat zake.
ukimtext mambo yeye anajibu poa na hata hakuulizi hali yako,wakati mwingine ukimuuliza hujambo anasema sijambo au anaweza kukujibu k akimaanisha Ok.
Yaani majibu mafupi kama mmegombana na wakati mwingine unajiunga extreme sms 500 kwa ajili yake lakini majibu makavu kama hakujui
*labda ninapenda nisipopendeka*