Tembea uone au usikie mengi,,wanawake wenye kidevu cha yai?!

Tembea uone au usikie mengi,,wanawake wenye kidevu cha yai?!

kaka km

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
1,336
Reaction score
689
Natumaini mko salama wana jukwaa.

Jamani katika kusherehekea sikukuu ya pasaka jana,nilikua kiwanja flani tunapga stori na washkaji na kamvua kwa mbali. Sasa akaja binti mmoja karibu na meza tuliokua akakaa muda kidogo kisha akahama meza,akaenda kukaa kaunta

Nyuma akaacha mazungumzo washkaji wakimsifia na kusema ni mzuri sana usoni,ana kidevu cha yai,yani kidevu cha mviringo kama yai. Wakasema wasichana wote wenye videvu vya yai ni wazuri sana mfano wema sepetu,,rihana,videvu vilivyochongoka.

Mimi hili jambo la kidevu cha yai ni mara yangu ya kwanza kulisikia,wanajukwaa hili jambo ni la kweli?
 
Wenye videvu km bakuli mnatuacha wapi jmn,hata sie tumejaaliwa ujue
 
Mimi naju wenye "tukunyema" tu ndo waliobarikiwa hayo mengine swaga tu,ame na kidevu cha yai nyuma Flat mjini hafui dafu
 
Kuna yoyote alieondoka nae? maana kwa uzuri uliosema nadhani hajaondoka peke yake, mwanangu nipe data hujang'oa?
 
Back
Top Bottom