Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuchat kwenye mtandao mara baada ya kurudi nyumbani au kama una kazi za ofisini ambazo inakulazimu uzifanyie nyumbani. Ni vyema kumuomba mwenzi wako ruhusa kama hatajali kabla ya kukurupuka na...
28 Reactions
54 Replies
10K Views
hi gri
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Independent divorced mom wondering if there could be a second chance in life, if you are 35 and above, independent single dad believing there could be second chance in life and you are...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Una dada yako, alafu rafki yako anataka kumuoa lakn hajaongea nae, anataka umpe namba yake ya simu ili aanze kufunguka kwa dada yako. UTAMPA AU INAKUAJE? (kujifunza hakuna mwisho ukiona...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana MMU Ushauri wenu unahitajika wapendwa Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu Mimi ni mwanamke wa miaka 30, nimeolewa ndoa halali na nina mtoto mmoja. Kinachonifanya mpaka...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwanini watu wanawachukilia vibaya wasichana wanaotafuta marafiki,wachumba kwenye mitandao kama malaya?
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Wanawake katika harakati zao za kuchuna na kuhongwa wanatumia njia nyingi japo wapo wengine ambao huomba hela moja kwa moja ila wengine hutumia lugha ya picha mfano 1.Nimemuona rafiki yangu...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna jamaa tuko nae chuo tatizo moja kila demu akimwona tu huyu jamaa anapapatika anajitongozesha hata demu flan namsomeaga raman nimnase ashafall kwa mshkaji cjui jamaa ana nn labla ushauri ili...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Inatuhusu sana utakuta mtu hata majukumu yanamshinda kisa AnaChart kwenye mitandao ya kijamii. Talaka, Michepuko vitaongezeka sana.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Deldell
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wapenzi, Nina kitu kinanchanganya kidogo Kuna baba mmoja nimemfahamu kama 6 years ago ni mkubwa kwangu me ni kama mwananye wa kwanza hivi,,huyu baba ni mtu ana pesa nyingi na...
0 Reactions
76 Replies
9K Views
Utasikia mwanamke bila haya anasema "Mimi siolewi na mwanaume asiye na gari b`sababu sitaki kwenda clinic kwa mguu" mama yako angesema hivyo ungezaliwa wewe? Utaona na dume zima linaenda ukweni...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Mm nimeanza chuo juzi tu nilikutana na demu flani tunasoma nae koz moja tulizoeana in deeep sana sana na kuchat sana sa juz bana aliniomba kitu flani but kilikiwa nje ya uweza wangu kaabisaa...
0 Reactions
55 Replies
9K Views
“Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kula chakula kimya akiwa tayari...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa wanaMMU natumaini mu wazima. Jamani nimekuwa najiuliza sana kuhusu mahusiano. Sometimes huwa nayaona Kama ni Bahati nasibu hivi Kuwa unawezaokota dume au ukapata galasa. Najikuta...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Kama ilivyo kawaida ya wanaume huwa tunamtongoza msichana yeyote aliyetuvutia bila kujali ni mchumba wa mtu au vp basi ndivyo ilivyokuwa kwangu nami nilipata kumpenda binti mmoja na baada ya...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nilikuwa nasikia kwamba wanawake ambao wamesoma hawaoleki nabisha ila sasa nimeamini ni wabishi, wajuaji hawapendi kukosolewa na wana kujivuna sana bora kuoa binti wa kawaida ambae amepiga div 5...
2 Reactions
107 Replies
10K Views
KAMA NI NJIA NZURI NAWE ICHUKUE IFANYIE KAZI!! Mama yangu aliwahi kunyanyaswa sana, aliwahi kudharauliwa sana….wakasema maneno mabaya juu yake….wakamsemea familia yake. Waliomsema...
17 Reactions
65 Replies
8K Views
Dunia ya leo hakuan kupenda maada kila demu ana penda pesa je masikini apendwe na nani kama mapenz pesa je tuweke matabaka richman pekee yao na poorman peke yako tell me now my friends
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mara kadhaa mdogo wangu wa mwisho amekua akiniambia, "bro, utakuja kuoa mwanamke kulumbembe!" Sababu hasa ni hii... Nimekua na bahati ya kutembea na wasichana wazuri sana na kwa bahati mbaya...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
Back
Top Bottom