kwanza nianze na simulizi kidogo; Kuna dada amezaa mtoto 1 na mume wa mtu,na jamaa alimtelekeza.
Sasa jinsi huyo dada anavyomtunza inashangaza mtoto wa mwaka 1,akijisaidia anapata kipigo na matusi,anashweshwa bia,hata nafasi ya kulala kama watoto wengine hana.Jana mtoto na mama wamekwenda kuangalia "kangamoko" mpaka usiku mkubwa.Kupitia maongezi inaonekana ile hali ya kutelekezwa na mume wa mtu basi hasira zote zinakwenda kwa mtoto,hana mapenzi kabisa naye.
Je hali hii ni kwa wote?Tusitelekeze watoto jamani