Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu marafiki, Leo ningependelea tuzungumzie kuhusu ulezi wa watoto wetu,taifa lijalo na majukumu yetu kama wazazi.Mzazi ni mfano wa kuigwa kwa mtoto.Kile anachofanya mzazi kiwe kizuri au...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, nimeingia kwenye mahusiano na msichana niliiyempenda sana kwa karibu miaka 3 kuelekea 4. Lakini nilikuja kugundua msichana wangu ananisaliti kwa kutembea na...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Wifi yangu amekuja juzi. Ni dada wa mume wangu. Alipofika sikuwepo nilikua kazini. Nilipofika toka kazini nikamkuta amelala. Nikamsubiri alipoamka akaja tukatambulishana tukaendelea na maongezi...
0 Reactions
282 Replies
27K Views
Heri ya PASAKA wana JF wote na hususani wana MMU! Yawezekana wewe unayesoma hii mada upo mzima ki mwili, ila ki hali upo taaban sana kutokana na nijirusho ya weekend ndefu iliyopita. Wana MMU...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari za jioni wana-JF! Ndugu yangu anapitia kipindi kigumu sana wakati huu. Ana mke, ndoa ina miaka 11. Wana nyumba yao kihonda, morogoro na wanaishi huko, watoto 2! Shemeji kachachamaa...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Niko Masomoni Nairobi, nikihudhuria kozi fupi. Nikiwa huko mnamo tarehe 6 Januari, nilipigiwa simu na rafiki yangu wa kike akiwa anaangua kilio kuwa mama yake mdogo amefariki huko Bukoba, hivyo...
8 Reactions
53 Replies
5K Views
Hii sio story ni kitu cha kweli kabisa na kimetokea usiku huu muda huu jamaa yuko Arusha kafanya kituko cha mwaka, kaingia leo huko akaopoa toto la kimeru wamekula wamekunywa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani Naombeni msaada! Mwenye kujua link ya kufanyia ONLINE APPLICATION ( ULR) vyuo vya UALIMU anisaidie Dada yenu siioni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msichana niliye naye anakuwa anataka pesa kila ninapota kumgegeda je nime piga wrong number labda sio nyota yangu?
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Eeeh bwanchuchu nimerudi tenaaaa..... Niambieni nani anatakaa?,,,, Kitendawiliii.... Sisi tuko wanne na vidole viko vitanoo... Tutagawana vip eeeh..?? Eeeh kwaheriii...
0 Reactions
6 Replies
878 Views
Link: http://www.youtube.com/watch?v=xh6QMwYU2SE
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Uvumilivu umenishinda nalazimika kusema hili nimetafuta mchumba kupitia LOVECONNECT sijafanikiwa basi sikukata tamaa nika anza kuwa PM wengine niliowapenda lakini wala hawajanijibu .Hivi kweli...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
What's happening JF/ MMU nation? It's been a minute huh? I hope y'all are fine and dandy. So, without further ado, let me get down to it. Can men and women truly be friends? No matter what side...
4 Reactions
76 Replies
8K Views
Hivi ni neno ambalo ukikumbuka unabaki kucheka wakati ukitongoza au kutongozwa?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Jamani mwenzenu upweke umenichosha, natafuta mwenza wa kuishi nae. Ni mama wa watoto wawili, umri wangu miaka 36, elimu yangu ni shahada ya uzamili, muislamu na ni muajiriwa wa serikali...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa kweli huuu ni mtihani kwangu tena karibu ya kushindwa Mimi ni baba mwenye watoto 2 wa kiume yuko miaka 5 na wa kike mika 2 Baba mimi nakiri kua nawapenda sana wanangu kwa hali ya uwezo mungu...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
npen ushauri wadau mimi gentlemen mkarimu tu, nko na girlfriend wa kichaga sifa ya makabila yetu haya ni kuhusu fwedha tunatafuta sana,nkioa tunaweza kwenda sambamba ama la! aliye oa mchaga au...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni kweli bila pesa mademu wazuri utaishia kuwaita shemeji??
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Jamani katika maisha hakuna mkamilifu, basi inapotokea kwa namna moja au nyingine umekwazwa na umpendaye, jitahidi upate njia muafaka ya kumaliza tatizo, mapema, na bila masharti: Mfano, baada ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mara nyingi kila nikiingia jf huwa najiuliza sana kuhusu hawa watu. Sijui wakoje? Mimi naona ni makokap sana waliokubuhu hata ukiingia kubanjuana nao inatakiwa mwanaume ujipange.. Kuna...
1 Reactions
73 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…