Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,429
Mara nyingi kila nikiingia jf huwa najiuliza sana kuhusu hawa watu. Sijui wakoje? Mimi naona ni makokap sana waliokubuhu hata ukiingia kubanjuana nao inatakiwa mwanaume ujipange.. Kuna Lara1,Evelyn salt, Madame B, Miss Chagga na Nazjaz. Hebu ninyi wanajamvi kama mnaweza kusoma sycology ya mtu mnawachukuliaje hawa.