SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Uvumilivu umenishinda nalazimika kusema hili nimetafuta mchumba kupitia LOVECONNECT sijafanikiwa basi sikukata tamaa nika anza kuwa PM wengine niliowapenda lakini wala hawajanijibu .Hivi kweli inaingia akilini mtandao mkubwa kama huu kweli nakosa mtoto wa kupiga naye stori huenda kuna mkono wa mtu. Saweni tu sasa hivi ngoja nijaribu kutafuta mchumba kupitia badoo labda huenda nikapata mtoto wa kunifariji moyo wangu .Inasikitisha sana kwa kweli.