Eti Kamkomoa...!

Eti Kamkomoa...!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Hii sio story ni kitu cha kweli kabisa na kimetokea usiku huu muda huu jamaa yuko Arusha kafanya kituko cha mwaka, kaingia leo huko akaopoa toto la kimeru wamekula wamekunywa wakakubaliana wakalale wote mpaka asubuhi, kufika chumbani wameshachojoa demu kambadilikia mwana, anataka elfu 50 la sivyo hali mzigo jamaa kabembeleza japo iwe hata 30 demu kagoma kabisa, jamaa yangu kitu kimesimama mbaya kaingia bafuni katoka na vile visabuni vya gest kakilowesha maji kimetoa povu kapiga puchu mpaka bao mbele ya demu jamaa kapanda kitandani mwepesiii kageukia upande mwingine kamuacha demu mdomo wazi haamini kilichotokea jamaa kanitext muda huu eti kamkomoa mtoto wa kimeru
 
hahahhaha da hio poa sana hio inaitwa substitute, hao watoto wakike wasifikiri bila wao hatuwezi survival
 
ayushua huyo jamaa sio wewe kweli?
 
Back
Top Bottom