Jamani katika maisha hakuna mkamilifu, basi inapotokea kwa namna moja au nyingine umekwazwa na umpendaye, jitahidi upate njia muafaka ya kumaliza tatizo, mapema, na bila masharti:
Mfano, baada ya mpenzi wako kutambua kosa lake, akiomba msamaha, basi usiweke masharti ya msamaha i.e "ili nikusamehe niambie ulisha fanya kosa hili mara ngapi? au ukirudiatena mimi nichukue hatua gani? Hapo hamlijengi penzi, bali mnaongeza ufa na kupoteza mvuto wa mapenzi.