Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu wana jf, hapa napenda kuwashirikisha njia za kutoa vitambi kabisa/kutopata kitambi. unaweza fanya mojawapo au zaidi kati ya haya 1.Uwe na mikopo zaidi ya mmoja katika benki tofauti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU!,I hope mko ok!. Nionavyo mimi michepuko hasa kwa wanandoa husababishwa na 1.MSULULU WA WAPENZI KABLA YA NDOA.Hii ni kwa wote ke na me,kuwa na msululu wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Haiwezekani hata kidogo mtu akawa ni mtu wa kumpuuza Mungu muumba wake kwa kinywa na matendo yake halafu wakati huo huo awe na moyo kukujali wewe(sanasana atajivika mavazi ya kondoo).Epuka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mtoto jinsia ya kike kwa majina Boke au Hawa Mohammed ameokotwa wilaya ya Bunda mjini Tanzania. Huyo mtoto anayekadiriwa kuwa na kati ya miaka 10-13 amedai kwao ni MIGORI KENYA.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa Upendo wanaMMU. Kuna hili jambo naomba unishauri maana sina uhakika na ninayoyafanya niyafanye vipi. Nina binti ambaye yupo sekondari, boarding school. Wadada wa kazi ambao...
3 Reactions
152 Replies
10K Views
Ni mke wa rafiki yangu, kwa jinsi nilivyo karibu na jamaa, tunaheshimiana. Kama kawaida huwa tunatania mara kwa mara, utani wa kawaida. Kuna hizi sms za vichekesho ambazo baadhi yetu tumekuwa...
3 Reactions
95 Replies
37K Views
Habari zenu wandugu! Nahisi kama mko poa vile though im not so sure! This is 4rm my own experience juu ya jinsi nilivyoambatishwa na yeye aliye "ubavu wangu".Ni habari ndefu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa najiuliza sana kwanini siku hiziWanawake wamekuwa Vichechebalaa....Hawatulii...Sio kama zamani...Nanimepata jibu sasa....Sio kosa lao walaNI KOSA LETU WANAUMEHawatulii kwa sababu...
8 Reactions
60 Replies
7K Views
Inakuwaje mke wa mtu, anajilengesha kwa mwanaume aliye na mke. Kisha mwanamke anamwekea sharti jamaa kuwa lakini yeye (mwanamke) eti hapendi kushea wakati yeye mwenyewe ana mume.....!!! .. .. ...
0 Reactions
220 Replies
13K Views
Nimeagiza serengeti ya baridi ina maana nikilewa hii chui itanipeka home ETI donati inauzwa sh 200 ina shimo katikati ina maana ntarudishiwa chenchi? tumeachana kampa number yangu basha wake...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Njia kuu yako ndio michepuko ya wenzio, take care
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Matatizo mbali mbali ya kimaisha tunayo kabiliana nayo sisi, pia wanawake kwa namna moja au nyingine nao wanakabiliana nayo pia. Tunajisahau pale tunapokuwa kwenye mahusiano huwa tunawapush sana...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari zenu wana MMU As a new member nataraji ushirikiano wenu wa mawazo zaidi. Hii Thread yangu haiitaji ushauri zaid ni kujifunza kupitia makosa yatokanayo. Nilikutana na kijana mtandaoni,kwa...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Inasemekana kuwa rangi hii uongeza hamu ya kufanya mapenzi maradufu...sasa kwa wale amabao huwa mnatandika shuka nyeusi, kijani penegne hamu ya kufanya mapenzi huwa inapungua bcoz ya rang...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mdogo wangu anamiaka 32 anataka kuoa nimemwambia asubiri mpaka miaka 40 .kwa sababu miaka40 mwanaume ndio anajua anataka nini na hapo mara nyingi waliooa mapema wanafile for divorce na miaka 40...
0 Reactions
54 Replies
16K Views
This is a question for the ladies out there this thing has become a very big issue now a days! WILL YOU MARRY FOR LOVE OR MONEY? Can you share if you are able to do so n give your reasons if you have.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna mdada simuelewi kabisa nikikutana naye ananiogopa akikutana na rafiki zangu anawatuma wanisalimie wataalamu wa haya mambo inakuaje apo?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sijui nianze kwa kusema ni wivu au ndiyo mambo ya upendo na kujali, nakosa cha kuanza nacho ila leo inabidi tu tuambizane huwa mnatuwazia nini.. Kuna katabia fulani hii kwa kiasi kikubwa wanako...
4 Reactions
65 Replies
6K Views
1- Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari 2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa 3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ahlan wasah'lan wanajamvi, Hongereni kwa starehe kwa wale mliobahatika kuwa mapumziko. Na kwa wenzangu na mimi ambao hatuna "weekend" wala sikukuu basi tuendelee kuchapa kazi. Leo wakati...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…