Kuna thread nimeiona humu, Matokeo1 analalamika condom zinafanya mashine yake isisimame, nimeona nifungue thread hapa kushare na wadau wote baadhi ya condoms bora na uzuri wake, kama na wewe una...
Heri ya pasaka wanaMMU.
Leo ningependa kuzungumza na wenzangu tuliopevuka kwenye mahusiano.
Mahusiano yawe ya BF/GF au ya mume na mke yanahitaji heshimana kujali hisia za mwenzi wako. Napenda...
Habari wana Jf, Mimi ni kijana wa kiume, Nina miaka 28, naishi Dodoma! kabila langu ni msukuma, nina elimu ya chuo Kikuu na pia nimeajiriwa! Natafuta mpenzi/ mchumba mwenye sifa zifuatazo; umri 21...
Nipo hapa usingizi haupo kabisa.
Tamaa zimewaka vibaya mno natamani namimi ningekuwa nimeshaoa tayari lakini umri na uwezo wa kiuchumi hauniruhusu kufanya swala hili haraka iwezekanavyo kama...
Anaitwa Rehema Komingo. Ni rafiki yangu tulipotezana tangu tulipomaliza chuo SAUT mwanza. Kama unamfahamu na unayo mawasiliano naye naomba uniunganishe naye. Waweza kuniPM kwa msaada.
mimi ni kijana wa miaka 28, ni daktar nimaliza chuo mwka jana kcmc moshi. natafuta rafiki wa kike ambaye naweza kuja kuishi naye kama mke wangu.
sifa;
1.awe mwenye umri kati ya 20-24.
2.mkristo...
HABARI YA JPILI KINA DADA NA KINA KAKA LEO TUJIFUNZE NI JINSI GANI ITATUSAIDIA KUTOCHOKANA IWAPO TUPO KWENYE MAHUSIANO YAWE YA NDOA AU YA KIRAFIKI TU LEO NITAZUNGUMZIA MOJA TU NALO NI LA KUHUSU...
Asalaam aleykhum wana MMU wenzangu.
Imekuwa ni suala la kawaida kwa wake/wapenzi/hawara zetu kulalamika kuwa hawafikishwi kileleni katika suala zima la tendo la ndoa/ngono. Na hivyo basi imekuwa...
Sifa
-mweupe
-22-25
-160-167 sm kwa urefu
-awe wa shule ya maingi preferable
-awe dar kikaZi
-asiwe mnene tafadhali
-muumini wa muungano wa serikali tatu
Serious ones PM
mwenza au mpenzi wako anakupa taarifa ya kuja unapoishi.kuja kwake kutafuatiwa na kugegedana usiku kucha au kwa saa fulani.hilo unalijua vyema.
maandalizi ni yapi na yatakuwaje?
ikitokea umegundua kuwa mkeo au mpenzi wako anamahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwingine na wew kwa wakati huo hauko tayari kumuachia mkeo/mpenzi wako, ni uamuzi gani wa kuchukua kati ya...
Habari wana MMU,
Miaka ya hivi karibuni kumekua na wimbi kubwa sana la ongezeko la picha hizi za porn katika mitandao mbali mbali na sababu kubwa ninayoiona mimi ni kukua kwa teknolojia duniani...
Wakuu hii nimeikuta sehemu, nimeshea tuone ukweli katika hili. (Sex Tourism)
In recent years, Tanzania has become more popular as a tourist destination and the number of sex tourists has also...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.