Kwa kweli Simuelewi huyu dada

Kwa kweli Simuelewi huyu dada

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Tunapiga naye box hapa kwa wahindi, wote tunatumwa tumwa tu. Namheshimu kama sister na pia naona anapete ya ndoa. Salamu ya asubui kama kawaida yangu ni Hi, hamna shikamoo.

Wazee wa getini huwa tunapeana mambo vipi babu,ikiambatana na utani wa hapa na pale pamoja na kahawa. Huyu dada huku ndani kila ninachofanya lazima atake kujua, kila nikiongea lazima atake kujua naongea nini na atataka kuchangia kitu ambacho hafit maana sio msela hivyo kila akichangia anachangia pumba alafu watu wanapiga kimya.

Kitu kinachoniuzi zaidi ni tabia yake ya kila siku kuniambia "unajua benteke wewe ni mdogo sana kwangu" what the... wala hamna mtu aliyemuuliza yeyetu.

Saa nyingine ananiambia eti "ujambo mdogo wangu" Kwa kweli anaikwaza, I don't like kabisa hii tabia.
 
Pole mkuu umepotea njia nenda jukwaa la chit chat au Mmu watakusaidia ushauri nasaha!

BACK TANGANYIKA
 
Hahahahaha umenifurahisha kweli we jamaa, usijali Benteke watafanya kazi hiyo sawia kabisa.

BACK TANGANYIKA

Si unajua mtu mzima ukichemka lazima ukubali. Pale kwa kweli nilichemka. hasante kwe kuelewa mkuu.
 
hapa si mahali pake,alafu inakupunguzia nn?,njia rahisi na bora ni kupiga kimya
 
Humuelewi kitu gani? Amekupenda ila ndio vile anakuona mdogo ki umri..!

Akikwambia hujambo? Mwambie sijambo Shikamoo dada..! Baasi..
 
Tunapiga naye box hapa kwa wahindi, wote tunatumwa tumwa tu. Namheshimu kama sister na pia naona anapete ya ndoa. Salamu ya asubui kama kawaida yangu ni Hi, hamna shikamoo.

Wazee wa getini huwa tunapeana mambo vipi babu,ikiambatana na utani wa hapa na pale pamoja na kahawa. Huyu dada huku ndani kila ninachofanya lazima atake kujua, kila nikiongea lazima atake kujua naongea nini na atataka kuchangia kitu ambacho hafit maana sio msela hivyo kila akichangia anachangia pumba alafu watu wanapiga kimya.

Kitu kinachoniuzi zaidi ni tabia yake ya kila siku kuniambia "unajua benteke wewe ni mdogo sana kwangu" what the... wala hamna mtu aliyemuuliza yeyetu.

Saa nyingine ananiambia eti "ujambo mdogo wangu" Kwa kweli anaikwaza, I don't like kabisa hii tabia.
No comment hapo!!!!
 
Kuna utoto fulani from you ambao anatamani usingekuwa nao...ili uwe more useful kwake au jamii kiujumla
 
Tunapiga naye box hapa kwa wahindi, wote tunatumwa tumwa tu. Namheshimu kama sister na pia naona anapete ya ndoa. Salamu ya asubui kama kawaida yangu ni Hi, hamna shikamoo.

Wazee wa getini huwa tunapeana mambo vipi babu,ikiambatana na utani wa hapa na pale pamoja na kahawa. Huyu dada huku ndani kila ninachofanya lazima atake kujua, kila nikiongea lazima atake kujua naongea nini na atataka kuchangia kitu ambacho hafit maana sio msela hivyo kila akichangia anachangia pumba alafu watu wanapiga kimya.

Kitu kinachoniuzi zaidi ni tabia yake ya kila siku kuniambia "unajua benteke wewe ni mdogo sana kwangu" what the... wala hamna mtu aliyemuuliza yeyetu.

Saa nyingine ananiambia eti "ujambo mdogo wangu" Kwa kweli anaikwaza, I don't like kabisa hii tabia.

Hapa ndipo JF ilipofika kwa utashi wake wenyewe! Idumu JF!
 
This is africa meen.mpe salam yke.uzungu achana nao
 
Unanifurahisha unavyoupenda ukubwa.
Nahisi pia unamtamani na unajua amekuzidi umri kwa hiyo unatamani akuone na wewe ni mkubwa ili umuombe game...
Kuwa na heshima halafu piga kazi
 
Back
Top Bottom