Katika kutathmini juu ya utaratibu wa Ufungishaji ndoa hasusani katika makanisa ninajikuta nina maswali kadhaa ambayo nimeona si vibaya nikawashirikisha ili kubadilishana uzoefu na kuongezeana Maarifa:
1.Anayefungisha ndoa ana uhakika gani kwamba hao wawili ni mwili mmoja?
I mean anajiridhishaje kuwa huo ni mpango wa Mungu?
.Anatumia vigezo gani?
2.Utaratibu huu unasaidia vipi kuimarisha na kudumisha Amani na Furaha ya wawili hao?
3.Je, vipi kuhusu Ndoa zinazofungwa leo halafu baada ya muda zinavunjika achilia mbali zile za "ili mradi siku ziende"?
4.Tusemaje basi Kuhusu ndoa zinazovunjika au zile za "ili mradi siku ziende",Je ni kweli kwamba wawili hao ni mwili mmoja kwa mujibu wa maelezo yatolewayo wakati wa kufunga ndoa na mfungishaji?.
Ni hayo tu ndugu zangu.KARIBUNI KWA MAJIBU NA MAWAZO...