Mashemeji kutawala Ukweni

Mashemeji kutawala Ukweni

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
579
Reaction score
887
WanaJF kuna jambo linanisumbua naomba ushauri,kuna Shemeji yangu kamuoa dada yangu wa Kwanza ni kikabila ni Mluguru kazi yake Mchungaji,tabia zake zimevuka mipaka anapenda Makuu na kutawala sasa hivi ndiyo kajifanya King wa familia yetu kila kitu cha familia anataka aamue yeye sijui anatumika na mkewe,ila mpaka mashemeji zetu waliooa dada zangu wengine anataka awatawale,sisi ni watu wazima kila mtu anaishi kwake ila akipiga simu masuala ya familia yetu anatufokea tu bila sababu za Msingi,nimemuheshimu mda mrefu ila nashindwa naombeni ushauri namna ya kufanya coz nafikiria kumpa 'mbovu' kutokana na kuzidiwa na Makwazo yake.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwani nyie mkiowa/ kuolewa mnabaki hapohapo kwenu? sijaielewa vizuri, kila mtu yuko kwake na familia yake mchungaji anakuja vipi kuwaamulia mambo? Baba/Mama yenu hayupo, kama hayupo hakuna mkuu wa familia kwa sasa? huyo mchungaji anaishi hapo kwenu...? sijaelewa vizuri toa maelezo. Kwetu sisi shemeji anaishia kwenye vikao vya familia, kwenye vikao vya ukoo hayupo.
 
Vunjeni ukimya! Samaki hukunjwa akiwa mbichi kwani mnavyomuacha hivyo ataanza kutawala familia zenu. Ni busara sana endapo mtakaa ndugu wote then mjadiliane halafu mumtume kama mjumbe akampelekee taarifa kuwa enough is enough.

HUENDA AKABADILIKA.
 
Be a man and face him.

Drag him out of your family and should never come back.

Acha kulialia humu.
 
Talk to your sister man. it may be the wisest way. Au dadako naye haeleweki?
 
WanaJF kuna jambo linanisumbua naomba ushauri,kuna Shemeji yangu kamuoa dada yangu wa Kwanza ni kikabila ni Mluguru kazi yake Mchungaji,tabia zake zimevuka mipaka anapenda Makuu na kutawala sasa hivi ndiyo kajifanya King wa familia yetu kila kitu cha familia anataka aamue yeye sijui anatumika na mkewe,ila mpaka mashemeji zetu waliooa dada zangu wengine anataka awatawale,sisi ni watu wazima kila mtu anaishi kwake ila akipiga simu masuala ya familia yetu anatufokea tu bila sababu za Msingi,nimemuheshimu mda mrefu ila nashindwa naombeni ushauri namna ya kufanya coz nafikiria kumpa 'mbovu' kutokana na kuzidiwa na Makwazo yake.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums


Yaani mtu akumegee dada yako na bado akutawale? Aisee inabidi awa heshimu nyie wote ye ana ukoo wake na nyie na wenu sasa how come analeta style hizo. Mi ningemsomea kesi ya kibaharia mbele ya kikao hiyo siku.
 
WanaJF kuna jambo linanisumbua naomba ushauri,kuna Shemeji yangu kamuoa dada yangu wa Kwanza ni kikabila ni Mluguru kazi yake Mchungaji,tabia zake zimevuka mipaka anapenda Makuu na kutawala sasa hivi ndiyo kajifanya King wa familia yetu kila kitu cha familia anataka aamue yeye sijui anatumika na mkewe,ila mpaka mashemeji zetu waliooa dada zangu wengine anataka awatawale,sisi ni watu wazima kila mtu anaishi kwake ila akipiga simu masuala ya familia yetu anatufokea tu bila sababu za Msingi,nimemuheshimu mda mrefu ila nashindwa naombeni ushauri namna ya kufanya coz nafikiria kumpa 'mbovu' kutokana na kuzidiwa na Makwazo yake.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

mbona ni dharau, kwamba kaoa ukoo/familia nzima, inahuzunisha na inatia hasira, mpe za uso bana.
 
maskini hana msimamo na malawi haiwezi kamwe kuiwekea vikwazo marekani.
 
I completely disagree with you mkuu. Heahima lazma iwepo. Mimi ni mtoto wa kike, hata kama nitachangia shilingi kadhaa lakini kuna levels of authority hapo nyumbani. Hata kama ni kwa majadiliano tu, ni lazima nipate approval ya say kaka mkubwa na baba mdogo.

mwisho wa siku mtoa mada anatakiwa amuweke mahali pale kistaarabu. Taratibu na meseji itawafikia.
maskini hana msimamo na malawi haiwezi kamwe kuiwekea vikwazo marekani.
 
WanaJF kuna jambo linanisumbua naomba ushauri,kuna Shemeji yangu kamuoa dada yangu wa Kwanza ni kikabila ni Mluguru kazi yake Mchungaji,tabia zake zimevuka mipaka anapenda Makuu na kutawala sasa hivi ndiyo kajifanya King wa familia yetu kila kitu cha familia anataka aamue yeye sijui anatumika na mkewe,ila mpaka mashemeji zetu waliooa dada zangu wengine anataka awatawale,sisi ni watu wazima kila mtu anaishi kwake ila akipiga simu masuala ya familia yetu anatufokea tu bila sababu za Msingi,nimemuheshimu mda mrefu ila nashindwa naombeni ushauri namna ya kufanya coz nafikiria kumpa 'mbovu' kutokana na kuzidiwa na Makwazo yake.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums


Hilo linaweza kutokea kama mnamtegea sana huyo shemeji yenu kifedha. Vinginevyo sioni hiyo nguvu anaipata wapi. pamoja na misaada yake anaweza kudhitiwa. Wangapi wanatoa misaada lakini wanabaki na uhusiano wenye kuheshimu uapnde wa pili?
 
Mlimuachia huyo amevuka mipaka......jikaze kiume umpe za uso akiwepo dadako
 
Usimpe mbovu, mwache siku moja ajichomeke kwenye swala lisilomuhusu then umwambie tu kiungwana kuwa jamii zetu zina mipaka! Hivyo yeye kama muoaji anapaswa kuwa na mipaka na familia yenu na zaidi akuheshimu/kuwaheshimu kwa kuwa halimuhusu ila atoe ushauri na si kufokea mtu. Hatarudia tena huyo

Inawezekana nature ya kazi yake imemuathiri, kuchunga kondoo kumemfanya achunge mpaka kondoo wa ukweni
 
Back
Top Bottom