Wanawake wakichepuka wanahama moja kwa moja.

Wanawake wakichepuka wanahama moja kwa moja.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Sisi wanaume unaweza kuwa na mchepuko ila mkeo asigundue chochote unahudumia familia kama kawaida na huoneshi tofauti yeyote lakini wanawake akianza kuchepuka ni balaa, kiburi,nyodo, dharau kwa kwenda mbele hivi kwanini wao hawawezi/hamuwezi kutunza siri ya kuchepuka.
 
Back
Top Bottom