Bro yupo chumbani kwangu na wife.

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,712
10,209
Ndo nafika kutoka job, mke wangu yupo ndani na wife, wamegoma kufungua mlango. Nimempigia mama simu huko mkoani, pia naondoka, nahitaji mapumziko na faraja, hakika hiki ni kipindi kigumu sana kwangu.
 
Mkuu nielekeze unakaa mitaa gani nije nikusaidie, Ama Kapenta by profesheno..!
 
Ndo nafika kutoka job, mke wangu yupo ndani na wife, wamegoma kufungua mlango. Nimempigia mama simu huko mkoani, pia naondoka, nahitaji mapumziko na faraja, hakika hiki ni kipindi kigumu sana kwangu.

wajameni au ndio kuchanganyikiwa uko. pole sana na matatizo ya Dunia
 
Ndo nafika kutoka job, mke wangu yupo ndani na wife, wamegoma kufungua mlango. Nimempigia mama simu huko mkoani, pia naondoka, nahitaji mapumziko na faraja, hakika hiki ni kipindi kigumu sana kwangu.
haina haja maandiko matakatifu yanasema visasi tumwachie Mungu, ndio maana nimeondoka home

mkuu hapo kwenye red.but labda kabila lenu mna tabia ya kushirikiana
 
Bro wako noma kweli na mkeo hafai kabisa.we bana potezea tu.waache kwenye sailencer wala usirudi nyuma kamwe.
 
Nmh, umefika home ukakuta wamejifungia, ukafungua laptop nakupost hii! Kama ni kweli basi ujasiri!
 
Pole sana ndugu kwa mkasa uliokukumba! Tuliza akili baadae muyatatue!
 
pole bro,manake pigo hilo.kama bado wamekomaa hd sa hz we vunja lango manake yawezekana dog style.
 
Back
Top Bottom