Ndoa nguvu sana wadau, labda mimi ninamkosi

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,203
Reaction score
1,001
Nimekuwa na mke wangu zaidi ya miaka 8, tuliishi kwa maelewano ijapo hakuwa sana, maana mtazamo wa mwenzangu inaonekana haikuwa m2 mwenye kipata cha kawaida namaanisha kuanzia 600,000 kuja chini.kiukweli nimenyimwa sana unyumba kwa kusingiziwa amekuta sms ya mapenzi kwa simu yangu, ilifika kipindi nilikaa zaid ya mwaka 1 na nusu hakuna unyumba, mara akaaza kudai mimi ninanguvu sana, kiukweli ilikuwa inauma sana ila nilijitahidi kushirikisha wazazi mara nyingi sana na haikuzaa matunda,

Kuna kipindi nilienda nje kidogo masomoni nikamwachia kadi ya bank kilichoniponza ni kuhoji matumizi maana alikuwa anadai 500,000 niliomwachia haitoshi yy na watt 2 na bint wa kazi.

Nikiwa huko masoni aliniomba sana kujiunga na mambo ya Bongo Movie lakini nikakataa sana nikajua italeta shida sana baadae.

Nimerudi kama wiki 3 zilizopita baada ya miaka 3, chaajabu nimekuta alisha ingia kwenye mambo ya Bongo Movie na amenipokea vizuri tukafurahi siku moja tu baada ya kupokea zawadi toka nje, akaniambia anaomba taraka haipendi tena ndoa yetu na tulifanikiwa kuzaa watt 2 miaka 10 na mwingine 5..

Basi kwa kuwa kalazimisha sana nikaona nifuate utaratibu tangu selkari za mitaa, kata, na sasa mahakamani anadai taraka..

Wadau naomba ushauri, maoni, au mitazamo yako binafsi

Nawasilisha wadau JF.
 
Mkuu pole sana, fafanua hyo mke ni wa ndoa au? Na je anamiaka mingapi? Na tofauti kati yako na mkeo ni miaka mingapi?

Maana kuna case kama hii nataka nkupe uzoefu ili uone kama utaufanyia kazi.
 
Em' piga talaka huyo.., atakusumbua tu.., kesha pata mchepuko huyo..
 
hiyo ndio ndoano mkuu

i think kwakuwa umeshaanza taratibu za talaka basi tuseme nini tena
 
Pole mkuu, kuna mtu ameshamshika akili ndo maana anakutafutia sababu ya kuachana nae
 
Sasa umeshafanya process zote unataka nini zaidi? malizia hapo palipobaki ili mtoto wa watu aende bongo muvi kwa amani
 
Pole sana.
Malizeni mchakato utafute mtakayetoshana nguvu.
Kisicho riziki hakiliki!!!
 
Mkuu kwani wewe hukurudi na mguu wa kuku kama yule wa ufoo umalize kazi hawa wanawake wakisha shiba wanakuwa na matatizo sana pole ndugu piga chini anza upya.
 
hizi kesi za kusikiliza upande mmoja huwa ngumu sana ingekuwa vyema kama ungeweka hapa na madhaifu yako pia
 
mpe talaka umezaliwa peke yako na utajufa peke yako
 
Huyo ameshadhamiria ukiendelea kumng'ang'ania atakusumbua bure....
 
Achana nae, kama kaenda Bongo movie, anataka kuuza sura kwenye magazeti ya udaku.
 
Hahahahahahah wadau ninalitaka nimuache kwa a jamani ili baadae akumbuke wakuu, na ninamiaka nae nane 8 sasa na watt 2
 
Si umpe talaka,hakua wako huyo,kashaonja nje kanogewa,temana nae,ila wtt sijui nikushaurije aisee,ngoja nifikir nitarudi
 
Asanten sana lakini labda kipato changu hakimtoshi ndio tatizo..na mbaya zaidi baada ya siku 2 kunipokea aliondoka nyumbani mpaka leo hii huwa tunakutana mahakamani tu akidai taraka..maisha ndivyo yalivyo ungomvi si jambo zuri muhimu maisha yaende na tuachane kwa amani..
 
Hahahahahahah wadau ninalitaka nimuache kwa a jamani ili baadae akumbuke wakuu, na ninamiaka nae nane 8 sasa na watt 2

Uko naye miaka 8 lkn umesema mna watoto 2 mmoja miaka 10 mwingine 5,??????????????????
 
Back
Top Bottom