Mom Fay
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,059
- 316
Habari wana JF...
Baada ya maumivu makali ya kipindi cha mda mrefu na mateso...sasa nimeamua kujituliza sehemu ambayo kweli nimependa,.najisikia upendwa,nasikilizwa na kudekezwa pia hamna nachokosa kwake.
Lakini mda mwingine napata hisia za tofauti,nahisi kama hatutafika mbali kama tunavyopanga kila leo.,sababu ni staa wa filamu anaejulikana sana na tena mda mrefu yupo kwenye hayo mambo ya filamu (siwezi kumtaja hapa wazi),.muda mwingi sipo nae japo tunawasiliana sana,na mda huo najikuta naingiwa na wivu sana,mara nyingi nikimuona akiwa anacheza sehemu za mapenzi najisikia tofauti,sijui ni hisia zangu tu au nini,.nilishawahi kumwambia navyojisikia akaniambia nisiwaze,kwani hyo ni kazi tu,lakini mapenz ni yetu!!.namuamini lakini mda mwingine naingiwa na hofu...
,hivi kweli tutafika!?..nasalitiwa nnje anapokuwa mbali kweli au hisia zangu zinanidanganya au ni wivu tu sielewi!!.kumpenda nampenda sana naogopa kumpoteza na natamani tufikie malengo yetu!.
Nisaidieni kama ni hisia tu nifanyeje kuzitoa?