zema21
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 619
- 257
wanajamvi naombeni mnishauri nifanyeje!
Mimi ni kijana mwenye miaka 26! si expert saana katika sector ya mapenzi! ila nina tatizo moja! huwa nikiona mwanamke ameng'ata ulimi wake! au ametoa ulimi nje huwa nasisimka saana na kumtamani!!
Nifanyeje kuweza kukabiliana na hiyo hali?