Ni majanga

Ni majanga

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
158
Reaction score
26
Mapenzi siku hizi yamepoteza ladha kama sio uhalisia.
1.Mapenzi yanekuwa ya kifacebook mnapongezana kwa kulike na mnapongombana au mnawasiliana kwa kucomment.
2.Mkitakakuonana mnatumia picha whatsapp(zile picha kujiandaa) sasa mtajuana na kusomana lini.
3.Bahati nzuri ikatokea mmefikia kwenye ndoa mahali inatolewa kwa tigo pesa,m-pesa airtel money watu wanaenda ukweni kuoa shughuli imekwisha.
5.Baada ya kuishi mwezi tu unaanza kuona kuwa ulikosea mnatafutiana sababu za kikamati ndoa inavunjika talakainatumwa ukweni kwa njia ya message tu "Mtoto wenu simtaki tena".
 
Unaweza kuta wewe ndio umepoteza ladha ya kuchagua, kuku wa kienyeji kibao unang'ang'ana na broiler.
 
Wako wapi?

boss jichunguze wewe usiseme wako wapi wakati wewe mwnywe hauko safi....

kumbuka ndege waliofanana huruka pamoja huwezi kupata mke/mume mwema kama wewe si mwema na mcha MUNGU.
 
Mapenzi siku hizi yamepoteza ladha kama sio uhalisia.
1.Mapenzi yanekuwa ya kifacebook mnapongezana kwa kulike na mnapongombana au mnawasiliana kwa kucomment.
2.Mkitakakuonana mnatumia picha whatsapp(zile picha kujiandaa) sasa mtajuana na kusomana lini.
3.Bahati nzuri ikatokea mmefikia kwenye ndoa mahali inatolewa kwa tigo pesa,m-pesa airtel money watu wanaenda ukweni kuoa shughuli imekwisha.
5.Baada ya kuishi mwezi tu unaanza kuona kuwa ulikosea mnatafutiana sababu za kikamati ndoa inavunjika talakainatumwa ukweni kwa njia ya message tu "Mtoto wenu simtaki tena".

Una umri ndugu? Kiuhalisia haiendi hivyo,kwanza hayo mapenzi ya facebuk sijui kukutana online ni mara chache sana kufikia kwenye ndoa
 
mi napita nikawaona kwa mbali...............loading error...............
 
Una umri ndugu? Kiuhalisia haiendi hivyo,kwanza hayo mapenzi ya facebuk sijui kukutana online ni mara chache sana kufikia kwenye ndoa
unaweza kukuta mtu onlinw ana ex hata zaidi ya 10
 
mbona huyu wangu tuko kwenye process za kufinalize

ndo mana nikasema ni mara chache, kwahyo nyinyi ni moja wapo ya hao wachache, ila kusema kweli wengi wao huwa nikudanganyana tu tena wanasulubika zaidi ya wasichana manake wanachezewa hadi huruma
 
wanachezewa au wanachezeana!!!!!!!!!!!!!!

kwanini iwe one way not both ways
 
inakuwa one way kwasababu unakuta msichana anaingia kwenye hayo mahusiano akijua finally amepata mwenza wa maisha kumbe mwenzie kazi yake kuchat kukutana kugegeda na kusepa situnawaona kila mara wanakuja hapa ooh nimekutana na demu nimetaka kugegeda kagoma
 
kwa mfano mkaka alikutana na mdada akaingia akijua amepata mwenza kumbe kalamba garasa

nae tunasema amechezewa au tutasemaje!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom