Ndani ya denda kuna ujumbe mzito? (Don't talk just kiss!) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndani ya denda kuna ujumbe mzito? (Don't talk just kiss!)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Apr 27, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280

  <font color="#0000cd">

  Hivi denda ni nini kama siyo kunyonyana ndimi kwa wapendanao?
  Kwa nini watu wazima wako tayari kunyonyana ndimi na hata kuhatarisha maisha yao....
  Jibu ni kuwa wanapendana na hawana namna nyingine ya kuonyeshana ya kuwa wanapendana
  Wengineo hupeana denda ili kuwashawishi wenzio wawape watakacho kwa kufanya hivyo ni hila..
  Ni kweli denda lina ujumbe mzito..

  Yupo nguli wa muziki wa zamani kule majuu ya UK
  Yeye (Right Said Fred) alitunga wimbo mwaka 1991 na kuuita
  "Don't talk just kiss........."
  Ujumbe wake ukiwa wewe m'mwagie madenda motomoto na mengineyo yatajipa tu.....
  Usiongee na acha domo kaya kwenye mahaba kwa sababu utakaribisha ubishi usio wa lazima..
  Ni kweli denda lina ujumbe mzito........

  Kama denda limechukua nafasi ya kujibizana sasa ujumbe wa ukweli uko wapi?
  Kama denda linatumika kuficha dhamira ya wahusika sasa mawasiliano ya kweli yako wapi?
  Kama denda pia laweza kuwa ni hadaa sasa penzi la kweli utalijuaje?
  Kama denda ni kiini macho mbona hutiliwa mkazo kuwa kutoa ishara ya mapenzi?
  Ni kweli denda lina ujumbe mzito.........


  Denda ni kizungumkuti hata korosi nenepa kusukumiwa nawe kulimeza bila mawengwe............
  Karaha za kifua kikuu usizione kwa kisingizio nimependa.......
  Tishio la magonjwa ya kinywa kutoweka kisa nimependwa........
  Hamaki za kutapeliwa kufifilishwa na tamaa ya kupendeka na kukubalika..........]
  Ni kweli denda lina ujumbe mzito........

  Machaguo siyaoni kwani jamii imekwisha toa maamuzi..
  Ya kuwa denda ni jeuri ya wapendanao na athari zake lazima kuvumiliwa na kubebeka.......
  Mie sina kauli ila kuwatakia kila la kheri..........
  Kwani tembo wapambanapo ziumiazo ni nyika......
  Ama kwa hakika denda lina ujumbe mzito nami nauogopa.............sijui kwako denda limekaaje?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Na ujumbe wa kwanza ni bacteria!

  Au ukute mtu kapiga kitu uji wa ulezi, afu mnaanza kufakamiana lol

  Na siku hizi hata denda laanza kushuka thamani, watu wanakutana club tu wanaanza kudendeana.

  Ni ngumu mie kuelewa maana halisi ya denda, sababu ni ustaarabu wa kimagharibi zaidi.
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Kongosho................Kongosho acha kunichekesha asubuhi namna hiyo...........niuonavyo mimi ujumbe wa kwanza ni.............. I really love you very much and want to bang you very much and right away..............
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  aah Ruta bwana; kwanini unaharibu raha za watu kwa kumention magonjwa!
  Ujumbe wa juu ulikuwa muafaka kwa weeekend, sasa tutaanza kuwazia sijui kuna kavirus kanatembea nitakacatch, mavitu kama TB

  Umeniudhi!
  Looks like huna company this weekend, ndio maana unatuharibia mood nasi! LOL
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Kwetu ni kijijini bana,denda ndo nini?
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Kaunga kumbe wapenda kuhadahiwa.......shilingi ina pande mbili tamu na chungu zitambue zote .even in this lively weekend.........
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Eiyer wacha uswahilina........................vijijini siku hizi denda ndiy salamu................waishi kijiji kipi?
   
 8. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Kongosho, denda siku hizi linakuwa replaced taratibu na blowjob na pussy licking....
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Bibi yangu (May her soul Rest in Peace) na shangazi yangu walilipinga hili kupindikia
  Tena wananiusia, usikubali kutemeana au kuumana midomo
  Inaleta magonjwa na ni uchafu.

  Na mengine meeeengi, ila ndo hivyo, nakosa basis za kusapoti ujumbe unaotolewa na denda.

  Maana kama ni mapenzi ya kweli, siku hizi watu wanakiss hata machangu clubs, are they real in love?

   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Bila ya ubishi Kaunga wewe ni teja wa denda na ndiyo maana umeudhika hivyo............lol, pole sana.....
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  So what do u do na mpenzi wako, mnaenda for a check up kila mnapotaka kukiss; na akiwa na mafua no kissing?
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Kaunga yuko wapi atupatie majibu ya maswali nyeti kama haya..........
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  we just kiss and don't talk.......................ukisha kuwa teja what do you do?
   
 14. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  mimi na my waifu wangu kama kawa.
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Uwiiii, hivi watoto wangu ntawaficha wapi wasijifunze haya?

  Dah . . .

   
 16. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mkuu kwa nionavyo mimi,

  Denda is one of the wazunguz fantansies ambazo sisi kama waswahili tumeziiga bila hata kujua maana yake. Kwa mfano kuna watu wanakuwa turned on wakiona sehemu fulani ya mwili wa mtu wa jinsia tofauti au wakiigusa au kuguswa na sehemu hiyo so hizo zinaitwa fantasy tu ambazo naamini na sisi waswahili tuna za kwetu pia.

  Sasa ilipokuja huku kwetu na sisi tukaibeba tu kama ilivyo na naamini watu wengi ambao wamekuwa wanaipractice wamekuwa wanafake hisia zake (Nasema wengi na sio wote) Hii ndio maana siku hizi imekuwa kitu cha kawaida sana kisicho na impact yoyote na ndio maana kongosho anasema watu wanakutana club wanapeana maulimi coz it means nothing to them.

  Mimi sijawahi kuona namna yoyote ambayo denda linanifanya nihisi zaidi ya kuanza kufikiria usalama wa kinywa cha mtu husika na kadhalika.................najua kwa wazungu it does something to their hisia lakini kwa sisi waswahili dah sidhani asee!
   
 17. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duuu denda muhimu sanasana kwenye mapenzi
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  eeeh mama gaude wangu weeeeee
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mh!
  Kongosho bana unanichekesha, yaani mtu anakula denda na changu, halafu hajui huyo Changu katoka wapi na alikua anafanya nini ( au ukute jchangu alikua ananyonya ndude ya jamaa halafu baada ya dakika kadhaa unakuta mtu mwingine unakula denda na changu, hahaa lol unajikuta mpaka unakula mbegu za jamaa yaani full Uchafu...
   
 20. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mh! hata kama nimeokota Chang denda litakua na umuhimu gani?
   
Loading...