Wazee wa michepuko na team bazazi leo tulieni makwenu na familia zenu, msisingizie kuwa mnaenda mei mosi kumbe mnataka kuingia chobingo, siku hizi kuna vifo vya ghafla ndani ya gesti house na...
"Kaka mambo? hajambo mke?".
Kiukweli hujaoa bado na pengine una gf wako au hunaaaaa gf.
Hili swali linalenga kutafuta nini kwa mwanaume? na ukiulizwa hivyo, unatoa majibu gani?
nampenda sana dada Evelyn Salt wakuu sasa gia ya kumuingilia ndo nakosa jamani embu nipeni gear, maana kila nikijaribu naishia kuambiwa mdogo japo nina age ya 26,i stand to be corrected but my...
Habari zenu wakuu.
Nina rafiki angu (sio mpenzi, just a friend) mwalimu amepangiwa mkoani halafu porini sana.
Leo kaniomba twende tukafunge ndoa za bomani ili apate cheti akaombe transfer...
Wacha wee!
Kuna mdada mmoja nilisoma naye chuo miaka fulani hapo nyuma, sasa jana katika pilikapilika zangu mjini, tukakutana ghafla maeneo fulani, kwa hiyo tukaanza kusalimiana na tukaona ni...
Naomba nishuhudie kitu hapa....
Nilikua na uhusiano na mdada fulani ambae nilimjua kwao vyema tu...ni msomi wa chuo kikuu vizuri tu.
Kwao niliwahi kusikia mama yake ana kashfa ya uchawi.mapenzi...
Wana JF, naomba ushauri wenu huyu binti niliye naye story yake inasikitisha sana, mpaka wakati mwingine inaniliza.
Kama mjuavyo maisha yetu haya ya Mr & Mrs kuwahi maofisini lazima utafute...
Habari zenu wana MMU, nimekua single kwa muda wa miezi mi 3 sasa. Mpaka sasa nimeshafwatwa kutongozwa na wanaume wawili lakini kwa bahati mbaya wote wanaume za watu!! Na mimi nahitaji mwanaume...
Yule Mke wangu aliyenitoroka miezi miwili sasa bila kwao wala mimi kuju aliko, majuzi nilipiga simu kwa mama yake mdogo kutaka kujua kama walishampata, bahati mbaya kwangu alipopokea alinipa...
Kwa kawaida mtu anayeamini kwamba, ni dhaifu, hujaribu kwa kila njia kuficha udhaifu wake, na moja ya njia hizo ni kujikweza ili kujaribu kumshusha yule ambaye anadhani anamzidi. Mtu asiye na...
Habari wadau?
Hebu tujichangamshe kwa kudondosha sifa moja ambayo anayokuwa nayo mtu anaekupenda kwa dhati.
Kwa kusoma kile alichoandika mwingine nahisi kila mtu atapima kama kweli mpenzi wake...
Jamani wana JF karibuni tucheke ni hivi ktk kupiga soga shosti wangu alinipa kituko eti alikutana na mwanaume wa kihindi sasa akamtongoza wakaenda kwake kwaviel mke alikuwa safari lakini cha...
1.usioe kwa 7bu umechoka kula kwa mama ntilie >>>mke sio mpishi kama umechoka kula kwa mama ntilie jifunze kupika.
2.usioe kwa 7bu umechoka kufua name kupika >>>mke co beki 3 kama umechoka kufua...
toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa...
Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu...
Jamani mwenzenu mimi ni wa kiume, nimehamishwa kikazi toka Dar es Salam kwenda wilaya ya Mkalama Singida. Nihitaji wenyeji na marafiki wapya mnipokee nizoee mapema!
Wapwazi na maguest members nina mdogo wangu mchunga kondoo alipata kifaa alipo kuwa katika harakati za kurudisha kondoo kundini huko Songea na wakaahidiana wataoana. Toka ampate yule binti ilipita...