Wakuu ngoja niende shortcut. Ni hivi nina dada yangu amemaliza form six ni lazima ni kiri ni mrembo na mpole sana, sasa juzi kuna mtu alinitonya kuwa kuna majamaa wanamfatilia dadangu yani...
katika siku ambazo huwa najisikia furaha kwangu ni kila tarehe ya 14 mwez wa pili. Kw kuwa huwa napata zawadi nyingi sana siku kama hyo. Huwa najiandaa kupata zawad zaidi kwa kuwa ndio siku ya...
Ni tangazo la biashara linalooneshwa kwenye tv na linaibua hisia za mahusiano
kati ya mume na mke, na ndio maana naweka hii thread hapa na si penginepo.
Maudhui ya tangazo yako hivi:
Mume...
Ninavyoamini mimi, kama vipo vitu ambavyo vinaweza kumpa ufahari wa maisha yote mwanaume alie rijali kutoka kwenye mahusiano na kiumbe mwenzake mwenye jinsia ya kike mojawapo ya vitu hivyo,
Ni...
Salaam ndugu zanguni wa jukwaa pendwa la MMU,
kuna hili swala linanitatiza sana kuhusu familia zetu za kiswahili,
Kwa mfano: katika familia yenu mmezaliwa watoto wanne na mnapenda sana,Mungu...
Habari zenu wadau
Hivi wadau hawa mabinti sijui wameona ndo habari ya mjini au mimi nina mkosi wa kukutana nao, unamtongoza , anakukubalia vizuri lakini hamjapanga hata mipango ya kufunuana...
Kama kuna mwanamke mweye umri wa miaka 28 hadi 40 ambae hana mtoto na anahitaji mtoto au watoto ambao ataweza kulea.
Anakaribishwa, ukiwa tayari nitupa email tutawasiliana.
Kuna kautafiti nimefanya nikagundua kwenye mahusiano kuna mambo mengi ikiwemo kuchepuka. Cha kushangaza wanawake wengi pindi wafumaniapo waume zao utamwona anakurupuka na kumvagaa mke/binti anaye...
Nisaidie hili :
KUNA BWANA 1 MKAZI WA UNGUJA, ILA yupo London akawaagiza nduguze wamuolee MKE, wakamuolea.
Jamaa akaja Unguja Ili kukutana na MKEWE. Alipofika air port zanzbar kabla...
Basi leo asubuhi nimemuona mrembo mzuri masikini hata hawezi kugombania gari, nikaona hapa hapa ndio pa kuchukua ujiko!
Nikapanda fasta nikawahi siti ya watu wawili halafu nikakaa katikati ili...
Girls, is it worth being a second wife?
Girls today are getting married for all sorts of reasons, some are pressure from society for them to get married while others are money, etc, due to these...
Nini huwa kinawajia vichwani mwenu pale mtoto wako wa kiume anapokutambulisha mchumba ambaye wewe hujapendelea? Ni kwanini nyie ndio huwa mnakuwa na vikwazo kuliko kina baba? Akiwa ni binti yako...
Wadau...kwema?
From story za kitaa na personal experience....mi nahitaji kujua what really goes on in the ladies minds wanapokua wanakataa gegedo.
Anakuja fresh kabisa, dressed, sprayed and...
Kwa wale wenye hisia za kupenda au kupendwa, wanaume hawapendi hila wanatamani ndio maana utasikia ninatafuta mwenza, natafuta jiko. Ile kuishi pamoja kama mke na Mme ni mazoea ya kutimiziana...
Nimeshuhudia kituko.
Sidhani kama naweza kukiona/kukishuhudia tena.
Leo Nimesafiri na bint tukiwa siti jirani, da...! ni mrembo si kwa sura tu, bali hata mavazi yake. Anasitahili kuitwa mrembo...
Wana MMU,
Wengi wetu hasa wale ambao tumejiunga kitambo tumekuwa tukilalamika mara kwa mara juu ya Jukwaa hili letu Pendwa la MMU Kuzorota kila siku zinapoenda. Members mbali mbali wamerusha...
Ni kawaida siku hizi kabla ya ndoa wapenzi kuishi pamoja. Kuna binti ambaye wakati tunaanza mahusiano nimemkuta anaishi katika chumba kimoja cha kupanga kutokana na ujauzito na hatimaye mtoto...
Habari zenu wana MMU.
Natumaini mu wazima wa afya leo ningependa kujua juu ya uchumba kati ya mwanamke na mwanaume kabla ya kuoana sababu
Ukiongea na wakubwa zetu watakwambia uchumba wetu...
Wakuu naomba mnipe mawazo
Ni hivi, mimi nilikuwa nafanya utafiti kujua ni kitu gani hasa msichana hukifanya muda mfupi kabla ya kumegana? Story yenyewe ni hivi, unamuita msichana kunako maeneo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.