mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,174
Kwa wale wenye hisia za kupenda au kupendwa, wanaume hawapendi hila wanatamani ndio maana utasikia ninatafuta mwenza, natafuta jiko. Ile kuishi pamoja kama mke na Mme ni mazoea ya kutimiziana mahitaju tu. Na wakina mama wengi uolewa hili wapate Mali ndio maana ata wazazi wanauliza anamiliki mini.