DAVIDO JR.
New Member
- May 21, 2014
- 4
- 0
Je utamtambua vipi mpenzi wako kama ana mapenzi ya kweli au ya uongo/ubabaishaji?
Ukiona hauna wasiwasi nae.
Akiwa hakupigi mizinga, ujue ana mapenzi ya kweli.
wasiwasi kwenye mapenz haukosekani 7bu unapenda xaxa ntajuaje??
Ukiwa na fedha tu
Akiwa hakupigi mizinga, ujue ana mapenzi ya kweli.
ukiweza kufungua moyo wake hapo ndo utajua