Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Habari zenu wana MMU.
Natumaini mu wazima wa afya leo ningependa kujua juu ya uchumba kati ya mwanamke na mwanaume kabla ya kuoana sababu
Ukiongea na wakubwa zetu watakwambia uchumba wetu ulidumu miaka mitano?
Lakini vijana wa siku hizi uchumba wenu haukai muda mrefu mmeshaoana.
-je kunamantiki yeyote ya kuwa na uchumba wa muda mrefu before ndoa?
faida zake ni zipi na hasara
Nawasilisha.