akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,193
- 1,810
Ni kawaida siku hizi kabla ya ndoa wapenzi kuishi pamoja. Kuna binti ambaye wakati tunaanza mahusiano nimemkuta anaishi katika chumba kimoja cha kupanga kutokana na ujauzito na hatimaye mtoto nikampangishia Nyumba nzima huku wilayani ambapo wote watumishi.
Ili kupunguza gharama akahamia kwangu, alinifahamisha tulikubaliana kuna mjukuu wa mama yake mkubwa ambaye mzazi wake mmoja amerehemeka aje wilayani hapo asome boarding school.
Cha ajabu akaja na wengine wawili jumla wakawa watatu bila idhini yangu na akawaweka shule ya kulipia maarufu academia English medium, kula kulala kwangu.
Ada anawalipia yeye ila anabaki hana kitu so I have to cover the deficit, nimepinga sana hilo majibu yake ananiambia I'm selfish mchoyo wakati watoto hapo wazazi wao wapo wanaishi mjini.
Nyumba za urithi waligoma kusoma wanakula kodi tu za Nyumba na kushona madira, naombeni Mawazo wadau nafkiria niachane na mwanamke Huyu ila nawaza hatma ya mtoto mdogo tuliye naye.