Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi nyie huwa hamridhiki msipodanganywa? Lawama nyingi zinawaendea wanaume kuwa wanaongoza kwa kuwa waongo, especialy wakati wanapotongoza, utatamani umwone na pamba kali (wengine wanaazima)...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari kwenu, Ni suala la msingi sana kwa wanandoa. Kuna wengine wanahisi walipotea, kuna wengine wanshukuru kupata mwenzi waliye nae, wengine wanajuta, etc. Je wewe mwenzi wako anakupa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Asalaam alaykum wanajamvi, Ni mara yangu ya kwanza kushiriki kwa namna ya kutuma post mpya, nimekuwa nikishiriki kwa kusoma tu post za wanajf wengine, lkn sasa msaada wenu wa kimawazo unaweza...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Hili ni kosa ambalo wengi hufanya na kujikuta wakipoteza wapenzi wao kwa kuchukuliwa na rafiki baada ya kudhani baada ya kumshirikisha angesaidia kumbe kinyume chake anatumia mwanya wa matatizo...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wadau. Mbarikiwe sana. Amani ya bwana iwe nanyi. Ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ana dini husika ambayo huabudia. Sasa inakuwaje basi katika jukwaa la dini hakuna post hata moja? yaani ni...
1 Reactions
3 Replies
910 Views
Wanawake mnafundishwa,au mnalazimishwa kupenda? unaweza kupanda daladala ghafla ukavutiwa au ukamtamani mwanamke una omba contact zake anakupa una muapproach anakubali anakuwa mpenzi wako wakati...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama unashidwa kujikimu wewe mwenyewe kipesa, je utawezaje kuanza maisha kama mume na kuanzisha familia mpya? Kijana unawezaje fikiri ni rahisi kuwa na mahusiano ukiwa katika hali hiyo, zaidi ya...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wadau. Mbarikiwe sana. Amani ya bwana iwe nanyi. Ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ana dini husika ambayo huabudia. Sasa inakuwaje basi katika jukwaa la dini hakuna post hata moja? yaani ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sijui nina tatizo gani!... miaka michache iliyopita niliona wasichana na wanawake kama dada zangu na ndugu zangu hata awe mkali vipi... lakini kwa sasa naona Wasichana/wanawake karibia wote...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
ijumaa tamu kama hii walahi ATM inacheka!! kwa sie tulio na madeni ni wakati wa kusay 'hello to the world'....pata kitu rooo inataka sikia...lainisha koo;tumbo lipate ile kitu masai...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mainly awe wakike, na awe mkazi Moro mjini au Mbeya the one who is already anipm au tembelea [email]esiwiti@gmail.com[/email
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 26 nipo Dar es Salaam natafuta mchumba ambae baadae aje kuwa mke wangu umri usiozid miaka 26. Awe anajitambua, awe tayari kuishi na mume, awe mzur wa sura na umbo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Anaitwa Najenjwa Elibariki alihitim mwaka jana CBE kwa mara ya mwisho tulionana morogoro yeye akiwa field TRA.... Kama unasoma ujumbe huu au mtu yeyote anayemfaham dada huyu naomba tuwasiliane. Aje Pm
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau JF, swala la kupenda au kupendwa linatia faraja kubwa sana katika mbio hizi za maisha.. Mimi huwa nasikia tu, jamaa anapendana huyu na mkewe au jamaa anapendwa sana na mkewe au mumewe...
3 Reactions
59 Replies
7K Views
Habari za humu wapendwa wangu Hapa nimeamka muda huu nalia sana namlilia mume wangu,nalia kwa MUNGU kwa nini napitia haya.. Mume wangu alikuwa nje ya nchi kimasomo kama miezi minne sasa na alikuwa...
12 Reactions
354 Replies
33K Views
WanaJf kiukweli nimeishiwa makali ya kutongoza, sijui nimepoteza mvuto au nawakosea timing. Najua mtasema kwa nini nataka kutongoza? Hii ni kwa sababu NatWest siku nikiachwa nisiwe mwoga nikaja...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Baadi ya jamii afrika huoza watoto wao wadogo kwa sababu za kifedha Umoja wa Afrika umeanzisha kampeini kabambe barani Afrika kusitisha ndoa za watoto wadogo. Kampeini hiyo ilizinduliwa mjini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa kinadada wenye umri kati ya 18-35. Kama ungekuwa na uchaguzi kati ya wanaume wawili kwa ajili ya kuwa na serious relationship; wa kwanza anakuridhisha, kukufikisha na kukidhi haja zako...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
0765832393 / 0689606070 / 0719858445
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…