Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu jamani? Mara nyingi nimekuwa nikija hapa pengine kujifurahisha au kumuombea mtu ushauri au kuisaidia jamii hii kwa ushauri. Lakini sikujua itafika siku nami seriously nakuja hapa...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
habari zenu wana mmu! Kuna binti nimeanza nae mahusiano kama mwezi uliopita.Katika maongezi yake ameonyesha ugumu kwenye suala la kufanya mapenzi ikiwa alishaniambia kuwa ni bikra.Naombeni...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Wana wa MMU.Leo ni birthday yangu,nawakaribisha mje mpate vinywaji na nyama choma,kuna mbuzi mzima kaandaliwa hapa bungoni club ya wazee. Ukifika utakuta meza kubwa kuna na UA,Vinywaji ramsi...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
"Uliapo sitokufuta chozi, bali nitalia nawe, Sitokukataza uondokapo laaziz, nitaondoka nawe, Sitokudaka uangukapo mpenzi, nitaanguka nawe, Nitakutunuku hata yangu pumzi, nife mimi uishi wewe"...
1 Reactions
74 Replies
7K Views
Viongozi, huwa napitapita huku kwa chati lakini siku hizi mbili tatu nimevutiwa sana na MMU. Nitakuwepo kwa muda kabla sijarudi kule kwenye ban. Nafahamiana na baadhi yenu kama Heaven on Earth...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kinachomfanya mchepukaji achepuke ni ukweli kwamba aliingia kwenye ndoa/mahusiano kwa kusukumwa na tamaa za mwili badala ya upendo na ndo maana hatulii na hataweza kutulia labda atulizwe na Neema...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi hakuna jina lingine la kumuita Mpenzi wako zaidi ya BABY??? Maana neno BABY limepoteza maana yake halisi,kuna girls wanaitana BABY kisa ni ma-BFF sijui,siku hizi hadi mahousegirl wanaenda...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
=> Ni UTAFITI, simsemi mtu, ila ndio tabia za WANAUME WENGI WENYE vitambi ni wavuvi wa kufikiri, wazembe, wana hasira za hovyo na zisizo kuwa na msingi.. => Mara nyingi wengi wao ni wavivu mno...
3 Reactions
128 Replies
15K Views
Unakutana na sister du kwenye daladala, bank, cofee shop au popote pale baada ya kufahamiana wakati mnaagana unamuomba namba ya simu anakujibu ''nitakupa siku nyingine'', unamwambia siku nyingine...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ndugu zangu mm niliandika tangazo la kuitaji mchumba,kiukweli nasema kupitia JF nimepata mchumba mzuri sana,ASANTENI.
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Inasikitisha sana, lakini ndo vile tena. Mwanaume anaoa huku anauwaza mchepuko wake, mwanamke anaolewa huku kidumu kiko pembeni. Maskini... kwanini hatuwazi juu ya baadaye, je, hatujui nini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za saa hizi wanajamvi, Nina rafiki yangu moja mzuri alinena na kuniambia "mapenzi ni mazoea". Maneno hayo machache nimegundua yamebeba uzito mwingi na yana maana kubwa na pana. Katika...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
Takwenyaaaaa some one is in loveee Jamani ndugu zangu mimi mahaba haya yatanimaliza sijui kuhifadhi rohoni mwenzeni hata kama niliumizwa vipi ni mwepesi wa kusahau sana na kuanza upya as I speak...
1 Reactions
262 Replies
17K Views
Nataka kuoa, nina miaka 32, natafuta mtu wa kusaidiana naye maisha. Nina watoto 4, mmoja wakiume wa 3 nilizaa nikiwa chuo tena field, huyo mwingine kazaliwa ana mwaka sasa, ila hao niliozaa nao...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kataa au bisha ila ukweli ndo huo. Wanaume asilimia mia tisa tisini na tisa point tisa wanachepuka. Ni ngumu kwa wadada walio olewa au kuwa na wachumba/boyfrends kutoka nje ya mahuaiano ila wa...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Hallooo , subkuch tiike wana jf Nilikuwa na mahusiano na nurse mmoja katika mji ambako nilizaliwa, baba na mama walikua wanaishi huko.Kipindi hicho nilikuwa field huko home. Baada ya kumaliza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
"Babe unaweza kuniletea popcorn...babe I want to ,go movie kesho...babe on saturday I need to go swimming...babe in the evening lets go Marrybrown..."heeeee Mungu wee hawa wasichana wa...
15 Reactions
285 Replies
18K Views
Guys hivi ni kweli kwamba kuwa na wife mwenye makalio makubwa kunaongeza risk ya kumegewa!?. Mi babe wangu amajaaliwa haswaa hadi naogopa yani. Sent from my iPhone using JamiiForums app
1 Reactions
77 Replies
12K Views
Tuchukulie kuwa wewe ni daktari mkuu wa eneo fulani na upo kwenye ndoa Siku moja ukiwa kazini unasikia habari za kigaidi eneo husika kuwa kutokana na habari za kiintelijensia kuna mahali...
9 Reactions
194 Replies
14K Views
Nipo Rungwe Mbeya.. Ni mrefu 5.6ft, Majiakunde, Mwembamba, Umri28, Mwiislam(sitoweza badili), Mhehe, Elimu shahada1 ya elimu.. MWENZANGU AWE. Umri 22-25, Urefu kiasi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…