Ushauri kwa ndugu yetu

queenlishas

JF-Expert Member
May 25, 2014
288
75
Habari zenu wapendwa,

Leo nimekuja kutafuta ushauri kwa ajili ya shost wangu. Huyu bibie alikua na boyfriend wake tangu chuo, walidumu miaka mitatu na wakapata kabeby.

Wakijiandaa kuoana kidume akaanza mchepuko shost kuona hivo akajiweka pembeni ingawa pande mbili zishaanza kuandaa ndoa. Kidume kuona vile akaoa kabisaa kifaa kingine tofauti na mchepuko.

Shida inakuja hapa, kidume bado anamfata mzazi mwenzie na kila anachofanya na mkewe ata wakikosana anamtafuta mzazi mwenzie anamsimulia.

Je ni kwamba anajutia uamuzi wake leo au anamtaka tena X?
 
Hii haijapikwa wakuu imekaa kiukweli kidogo.Huyo mwanaume hajitambui bado na hajui anataka nini.
 
Back
Top Bottom