SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Ni jambo la ajabu sana watu wengi wanaogopa kupima.Kupima kunasaidia mambo mengi maana mtu ukisha jua tayari unavyo inakuwa rahisi kudhibiti madhara zaidi .Jamani MSIOGOPE KUPIMA maana kama ukipima au usipo pima kama upo + au - ni hivyohivyo.TUPIME WAKUU TUJUE AFYA ZETU.Mimi Mwenzenu Kesho Ninaenda Kupima Nawahamasisha Nyote Twendeni Tukapime TUJUE AFYA ZETU Nawasilisha.