Mke wa mtu kuendekeza ngono hadi kwa shemeji zake - Ulimbukeni au ndumba?

RockSpider

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
6,861
2,754
WanaJF naombeni Msaada;

In short nina shemeji yangu ameolewa na wamejaaliwa mtotto mmoja katika ndoa yao! Shemeji yangu huyo tayari ameshatembea na boy friends wa wadogo zake zaidi ya 6, hakuishia hapo tu bali ameshagawa uroda kwa marafiki wa mume wake karibu 7 jambo lililopelekea mume wake kuvunja urafiki na maswahiba wake uliodumu kwa miaka mingi.

Shemeji yangu huyu tayari ameshagawa uroda hadi kwa mabosi zake na pia kwa wachumba wa binamu zake.

Mume wake anataarifa zote lakini hachukuilia action yoyote kwa kisingizio kuwa mwanae atataabika.

Baya zaidi hadi Baba Mkwe wake anajua kuwa Mwanae ni kiruka njia maarufu na ameshamshauri Jamaa yetu aachane na huyo mwanamke lakini jamaa anang'ang'ania.

Mimi binafsi naamini kuwa mtu kufikia uamuzi wa kuoa itakuwa tayari your emotionally connected !!! nje ya hapo inamaana kila mmoja atakuwa anasaka mtu wa kumridhisha emotionally! LAKINI kwa Shemeji yetu huyu ni zaidi ya Hapo... is like anajaribu kunya experiment za Shaft za kila aina... Tumsaidie vipi Kijana mwenzetu?

Maana minong'ono ya mitaani wanasema jamaa yake alikwisha tengenezwa huko TANGA kwa msaada wa shoga yake wakaribu ...
 
mke ana pepo la ngono...na bado asije kuja hadi kwako sasa mtoa 'sledi'

Akija Kwangu lazima yatatoka yote... Mkuu huyu shemeji yangu amezidi...nakiri sijawahi kumuona mwanamke loose kama yeye... bahati mbaya ni msomi mzuri tu (masters) lakini hulka na tabia ya ngono ni balaa...
 
Dah! Kuna watu wana vipaji. Huyo jamaa muacheni tu, siku ikifika atachukua maamuzi. Katika hali kama hiyo, bado ni ngumu huyo jamaa kujinasua.
 
Akija Kwangu lazima yatatoka yote... Mkuu huyu shemeji yangu amezidi...nakiri sijawahi kumuona mwanamke loose kama yeye... bahati mbaya ni msomi mzuri tu (masters) lakini hulka na tabia ya ngono ni balaa...
sitaki kujua kabila lake!! swali dogo tu.. hvi katika kuchepuka kote huko hamjawahi hata kumfumania?.. mkampa tiketi...????
 
sitaki kujua kabila lake!! swali dogo tu.. hvi katika kuchepuka kote huko hamjawahi hata kumfumania?.. mkampa tiketi...????

Mkuu Jamaa anaushahidi wa kila aina, kuna ndugu wa mbali wa shemeji yetu alikuwa anakula vituz akaishia kumhonga hadi gari... Jamaa anajua kuwa Mke wake kuna wakati alikuwa anagongwa na Mkenya ambaye alikuwa anatembea na mdogo wake wa kuzaliwa tumbo moja!...
 
Madhara ya kuoa kichwakichwa bila kumshirikisha Mungu ndo kama haya,"Mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna"
 
Madhara ya kuoa kichwakichwa bila kumshirikisha Mungu ndo kama haya,"Mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna"

Maneno yako yana ukweli mwingi sana Mkuu... Ila kwa jamaa yangu amebugi ile mbaya...
 
ukiangalia emmanuel tv utaona makubwa zaidi ya hayo, hayo ni mapepo ndugu yangu huyu mwanamke hana kosa.
 
Hata kama unapenda ngono sio hivi.

Huyu anaweza kuvunja record.
 
Tabia ya mtu haiachiki hivi hivi, alificha makucha kwa muda mrefu ili naye ahesabike kuwa ameolewa. Huyu ni mlevi wa ngono, kama tulivyo na walevi wa pombe kila bar mpya anataka atie maguu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom