Naitaji ushauri

Naitaji ushauri

yamlah

New Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Binti kamaliza chuo kikuu,akapata ujauzito wa boyfriend wake .kaka mwenye mimba alienda kujitambulisha kwao lakin kutokana na tofauti ya dini hawakufikia muafaka..lakin tangu mimba ina miez mitatu hapewi matumizi yake had kajifungua mtoto ana miezi mitano jamaa hana dalili ya kusaidia mtoto!
Nawasilisha
 
mshauri binti amlee tu huyo mtoto ni damu yake na Mungu atamsaidia tu,amlee tu hata kwa taabu kwani Mungu hamtupi mja wake.
 
Aendelee kumlea mtoto wala asihofu chochote, yote maisha kwa uwezo wa Mungu mtoto atakua
 
mapenzi hayana dini jamani,sasa hao walioingiza udini humo wamlee huyo mtoto ukisikia matatizo ya kulazimisha ndio hayo.
 
Back
Top Bottom