Relationship Guru

Relationship Guru

Baba Watoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
393
Reaction score
278
Wana jamvi, nikiwa kama mwanajamvi na aghalabu kidogo nimekula kula chumvi naona ni vyema kile ninachokijua hasa nishirikiane na watu wengine, kwa mantiki hiyo na kuweka maanani kuwa wengi huumizwa na mahusiano, natoa fursa ya kupoke na kujibu maswali mbalimbali yanayohusu mahusiano, ni sehemu ambayo najua nina uwezo nayo kwa kuzingatia muda niliotumia.
 
Baba Watoto HII NDIO POST YAKO YA KWANZA MMU...JAPO NI WA KIPINDI KIDOGO...ANYWAY WATAKUJA WENYE MASWALI.KUWA MZOEFU NA MAHUSIANO NA KUWA MTOA USHAURI MZURI NI VITU VIWILI VINAVYOTOFAUTIANA..
 
  • hivi kwa nini mwanmke ukimwonyesha mwananume unampenda anakutesa?
  • unashuri tuwe tunafanya mapenzi kwa style ipi?
  • kwenye mahusiano kusamehe mwisho mara ngapi?
  • je kuna fomula ya kuishi na mpenzi?
  • unafanyaje kujua kama mwenzio anacheat?
 
Haya wenye maswali waulize
 
Mimi nitakua muangaliaji na mshangiliaji katika mtanange huu
 
Baba Watoto je unafanyaje kuhakikisha mapenzi ya mbali yanadumu (nchi tofauti)
 
Last edited by a moderator:
  • hivi kwa nini mwanmke ukimwonyesha mwananume unampenda anakutesa?
  • unashuri tuwe tunafanya mapenzi kwa style ipi?
  • kwenye mahusiano kusamehe mwisho mara ngapi?
  • je kuna fomula ya kuishi na mpenzi?
  • unafanyaje kujua kama mwenzio anacheat?

nimeyapenda maswali yako teh teh
 
  • hivi kwa nini mwanmke ukimwonyesha mwananume unampenda anakutesa?
  • unashuri tuwe tunafanya mapenzi kwa style ipi?
  • kwenye mahusiano kusamehe mwisho mara ngapi?
  • je kuna fomula ya kuishi na mpenzi?
  • unafanyaje kujua kama mwenzio anacheat?
kula like kubwa! naunga hoja ya haya maswal,na swal la nyongeza...kwanini wanaume ni wagumu kusamehe kuliko wanawake?mfano mwanamke anaweza mfumania mumewe akamsamehe na maisha yakasonga mbele lakini mwanaume akimfumania mkewe si rahisi.
 
Wewe mke wako alishatoa papuchi nje mara ngapi
 
kula like kubwa! naunga hoja ya haya maswal,na swal la nyongeza...kwanini wanaume ni wagumu kusamehe kuliko wanawake?mfano mwanamke anaweza mfumania mumewe akamsamehe na maisha yakasonga mbele lakini mwanaume akimfumania mkewe si rahisi.

Teh teh teh,hatujapewa hyo roho yakubeba msamaha hasa ktk hlo.Ni wanaume wachache wanaoweze na mm si mmojawapo.
 
Nilikuwa napitia pitia tu matatizo watu waliyoelezea maana kwa hayo mambo hata mimi ni Guru!
 
  • hivi kwa nini mwanmke ukimwonyesha mwananume unampenda anakutesa?
  • unashuri tuwe tunafanya mapenzi kwa style ipi?
  • kwenye mahusiano kusamehe mwisho mara ngapi?
  • je kuna fomula ya kuishi na mpenzi?
  • unafanyaje kujua kama mwenzio anacheat?

miss chaga jibu la hilo la mwisho ni usitake kufanya chochote kujua kama mtu anacheat,jichunge wewe usicheat basi..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom