Ndan ya box
Senior Member
- Jun 2, 2014
- 159
- 44
HABARI ZENU NDUGU ZANGU WA HUMU NDANI,
Ni mara ya kwanza kupost humu ndani ,wanaume ni changamoto,iko hivi:-
Kwanza namshukuru Mungu sijawahi kutendwa hata siku moja,ila sijisifu nilikwisha acha mtu nahiyo nisababu zilizo nje ya uwezo wangu,ushauri wenu niko na mwaume mwingine 1 year sasa ,anaupendo,ni mcha mungu,na anatangaza nia ya kuoa ,kabla sijaendelea weakness kubwa niliyoona huyu mwanaume mfano pango la nyumba tulipie sawa I mean pesa kiasi yake,na yangu,vitu atataka nijumuike kununua sawa,kibaya zaidi hajawahi kunicare hata shilling sijawahi kugusa,mwanaume ninauhakika hana michepuko,ananipenda,ni mcha mungu,handsome,ila tatizo ni hilo ushauri wenu jamani maana usiingie kichwakichwa kwenye ndoa