Kwanza shikamooni/marahabaa
Mie ndo mara ya kwanza kupost mada humu jamvini, yamenikuta. Kuna kijana nampenda mnooo na yeye anajua hilo, hapo mwanzo tulikuwa wapenzi lakini kwa sababu...
hellow wanajamii forum wenzangu mwenzenu leo nimezaliwa upyaa...namaanisha cku yangu ya kuzaliwa...namshukuru sana mungu kwa kunifikisha umri huuuu....
Leo nikiwa katika pitapita zangu nikaona demu mkali mbele yangu kwa mbali, kwa haraka sana nikaanza kumfukuzia, nikipiga hatua ndefu ndefu kumuwahi mithiri ya msafiri aliyechelewa stand...
Nahitaji rafiki wa kike
- Mkristo Mchamungu
- Mwelewa wa maisha na success oriented mind siyo wa kuridhika kuwa nyuma kimafanikio
- Age 25 - 30
- Atleat form 6
- Anayeishi DSM
Mi nina miaka 33...
Kwa kweli inanisikitisha sana kuona jinsi wanaume Tanzania wanavyopenda kutembea nje ya ndoa zao. Hata wanaume wa Diaspora. Hata wale wanaoruhsiwa zaidi ya mke moja wanatembea nje! Kisingizio eti...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, natafuta rafiki awe wa kike au wa kiume wa kubadilishana naye mawazo kuhusu mahusiano, Kifupi nimewahi kuwa na boyfriend mmoja tu lakini kwa sasa...
Hii kasumba ya wadada au wamama kuvaa pete mbili yaani ile ya uchumba na ndoa inamaanisha nini?
Ni fashion tu au ni utaratibu uko hivyo?
Tena wengi naona wanaanza na ya ndoa halafu ya uchumba...
Unakuta wanamke juu kavaa kanguo ni kama yuko uchi chini kavaa kavaa kimini chepesi kama utumbo wa kuku na kifupi akikaa tu yuko uchi?
sasa najiuliza hawa watu wanaovaa ovyo ni nini wanakitafuta?
1. Kubadili mtindo wa kujikwatua.
Mwanamke anaweza kuwa amezoea kujikwatua kwa namna fulani lakini baada ya muda akaamua kubadili muonekanao wake kwa kubadilisha aina mpya ya kujikwatua kwa...
Habar wana MMU miaka ya hivi karibuni imekuwa rahisi sana kutongoza na ni rahisi pia kupata mwanamke ukilinganisha na miaka kama kumi nyuma,sio ishu siku hizi kusikia binti anamserendea jamaa na...
Ukienda guest au hoteli yoyote hapa TZ unakuta sabuni hizi za EVA zimewekwa kwenye bafu la choo cha chumba ulichopanga..
Kwa kawaida ni adimu sana kuikuta inatumika nyumbani,hivo nadhani hata...
Amani kwenu wana MMU,
Eti nauliza kama mme au mke akitoka nje ya ndoa mwenza wake anaweza mfungulia mashitaka yoyote mbali na kudai talaka
Na pia je anaweza mshitaki yule ambaye amechepuka nae?
Kwa kweli sikuwai kufikiria kutongoza kizungu ni ngumu hivi.......Ben jana nimeingia pasipoingilika.....binti anamwaga ngeli kama hana akili nzuri......nilijuta maana hasara niliyoipata ni kubwa...
Hi mabestito
Sexual jibes are perhaps the most common way that the devil manifests himself in the communities.
A few months ago a popular local artist was hired by one of the local mobile...
Habar wajaman!
Kijana wan kiume nimekua na mahusiano na wadada takriban ni watatu sasa, lakin swali la umenipendea nini aun kwanini umenipenda niloulizwa na wapenzi wangu wote hao limekua...
dear winny the love of my life ,am so proud of you even if i dont see you in this world,your presence was my love light,you made me see love as a miracous thing, am just alone looking at your...
ANAOMBA USHAURI:
Mimi ni kijana wa miaka 29. Baada ya maisha kunipiga kwa muda mrefu kutokana na kutokuwa na msaada wa familia na kutokuwa na kazi na kuishia kuwa 'mishen town' tu, miaka...
Katika angalia angalia nimekuja kuta wadada wanaovaa viatu vyenye hill(soli kubwa kwenye kisigino) hata muundo wa mkao wake mkiwa faraga nao hubadilika kutokana na kubinuliwa na viatu vile.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.