Kwa nini usisubiri taratibu za ndoa?

Kwa nini usisubiri taratibu za ndoa?

sinafungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2010
Posts
1,527
Reaction score
868
Wadau kuna hili jambo ambalo nahisi ni kujidharirisha. Utakuta bi dada ana kwao na maisha ni mazuri tu, lakini mara baada ya kumpata kaka wakatafunana, ghafla anahamia kwa jamaa.

Ukimuuliza eti tumependana.

Je, kama hivyo ndivyo kwanini usisubiri mwenzako akamilishe taratibu za ndoa ili uondoke kwa heshima?
 
Anaenda kuanza majukumu yake kama mke mtarajiwa..ndoa asubiri?kama huwazi kuoa atasubiri hadi lin?

Kama yamekukuta mwambe tu bidada awe anakaa kwao...japo atakumind na kuhisi kuna wengine wanakuja geto

Ndo maana wanasema kaba hadi penati..ndo hivyo bana
 
saa mbaya hizi kila abiria anachunga mzigo wake bhana
 
Kuna mchungaji mmoja ana laani sana hiki kitendo anasema mwanamme anajua madhaifu yako yote mapema hii inaweza kumfanya aghairi alichokuwa amekipanga.
Pia haijakaa vizuri mimi mbona naona soni sana naliwa papuchi kila siku aghhh!noo!tuhalalishane bwanaa!
 
kama huna mwelekeo wa kuoa najisogweza tu... though huo ujinga ndo sitakaa niufanye maishani mwangu labda aje kwangu
 
Mimi nilivo mvivu siwezi kujihamishia kwa mwanaume hata kwa 1 week! Mambo ya kuwa beki ttu nani anayataka?

Afu mambo unatumika unapigwa FREE P DAILY KUTW MARA 3 aaaah! Depreciation kubwa scrape value inakuwa NEGATIVE kabisaa. Asipokuoa unakuwa umebakia RONYA RONYA! Mimi hapana aiseee!

CHAKO KITUNZE!

Msinisikilize mie shauri yenu hamieni kwa wachuchu mpigwe Free P mpaka iombe pooo! Manake anajisevia tu any time T.
 
Wewe unamuuliza shori kwanini kahama dah ! suala : umezaliwa lini ?
 
Mimi nilivo mvivu siwezi kujihamishia kwa mwanaume hata kwa 1 week! Mambo ya kuwa beki ttu nani anayataka?

Afu mambo unatumika unapigwa FREE P DAILY KUTW MARA 3 aaaah! Depreciation kubwa scrape value inakuwa NEGATIVE kabisaa. Asipokuoa unakuwa umebakia RONYA RONYA! Mimi hapana aiseee!

CHAKO KITUNZE!

Msinisikilize mie shauri yenu hamieni kwa wachuchu mpigwe Free P mpaka iombe pooo! Manake anajisevia tu any time T.

Hamia kwangu hutojuta ! Napiga kitumbua fresh mpaka unaagiza halafu natunza fresh ! utatulia kama maji mtungini baridi kabisa !
 
Mimi nilivo mvivu siwezi kujihamishia kwa mwanaume hata kwa 1 week! Mambo ya kuwa beki ttu nani anayataka?

Afu mambo unatumika unapigwa FREE P DAILY KUTW MARA 3 aaaah! Depreciation kubwa scrape value inakuwa NEGATIVE kabisaa. Asipokuoa unakuwa umebakia RONYA RONYA! Mimi hapana aiseee!

CHAKO KITUNZE!

Msinisikilize mie shauri yenu hamieni kwa wachuchu mpigwe Free P mpaka iombe pooo! Manake anajisevia tu any time T.

Kwelii kabisa,unamfulia,kumpikia k ajipakulie tu halaf hana hata mpango wa kukuoa lol ukishafika mwezi tu anapata mwingine,bora kukutania hoteli tu
Ila kuna wadada wanajiweza anahamia kwa mwanaume lakini mwanaume hana uelekeo nae kabisaaa
 
Yamekukutae!!!? Unakaa na mtu miaka nenda rudi hana dalili za kugusia muoane mara kitu kinanasa ...utaendelea. kukaa kwenu? Kusubiri ajipange!?

Possibly sio ww unamsemea mtu bt je kama hao ulio waona wamekubaliana!??

Nanyinyi wanaume mkianza mausiano muwe wakweli kama just for funny waambiane wenzenu msije ishia kuanzisha familia zisizo za hiari.
 
mi mwenyewe nashangaa sana kama mnapendana kwa nn mcsubiri mfunge haruc mnachukuana kiwiziwizi ata aimpi MUNGU na wazazi heshima kabisaaaaaa
 
Unachezea sub mashine inabadilisha mazingira kwa muda mchache sana
 
zamani hayo mambo yalikuwa nadra sana. sasa hivi hijana wengi huogopa kuowa sababu ya hali ya maisha na garama za harusi kuzidi hali halisi ya kitanzania. ndio maana kuna maeneo mambo hayo yako kidogo sana mfano znz harusi zao ni mwanamke kununua kitanda na godoro na mwanaume unapika chai na maandazi harusi imeisha na hicho kitanda kinakuwa chenu. sasa mazingira hayo huna sababu ya kukaa na mtu bila ndoa maana sukari kila 2 na unga wa ngano kilo 5 harusi imekwisha.

Kingine kinachosababisha hayo ni mwanawake kutaka kupewa mambo mara nyingi, kuna mwanamke yeye anataka daily umsugue, sasa ile kutoka nyumbani kukutana gesti anaona kama haimtoshi, hivyo ukimuuingiza geto kwako unashangaa anaamua kulala kesho yake hivyo hivyo hata kama anaenda job akitoka job anapitia kwako. na wasichana wengine wana hela zao na kazi zao zuri na wengine wamepanga vyumba vyao lakini anafikia chumba cha mwanaume daily na kulala huko.sasa hii ni ile kusema wanawake wanataka kusuguliwa mfululizo. ndoa kwake sio ishu sana zaidi ya kupewa mambo.
 
Kuhamia kwangu sipendi aisee, yani sipati uhuru kabisa
 
Back
Top Bottom