Hata akikukuta chumbani 'mtupuu' umekumbatiwa...?

Hata akikukuta chumbani 'mtupuu' umekumbatiwa...?

funluverx

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
480
Reaction score
344
VAA VIATU KUWA NI WEWE.
Unae mpenzi wako,
Unampenda balaa na unaamini anakupenda pia kwani anathibitisha kwa vitendo haswaa.
Siku moja wewe, shetani kakupitia na umelazimika 'kuchepuka'.
Baada ya kupiga hesabu zako umejiaminisha kuwa mpenzi wako hawezi kugundua kuwa umemsaliti.

Mapenzi wazimu-Unanogewa,
Mchepuko umekukuna ukakunika,
Sasa umeamua kuchonga Mzinga kabisa,
Unaendelea na mchezo wako huu mchafu.

HAMAD;
Siku moja, Mungu wa jamaa yako mkubwa;
Si- anawafuma laivu mko chumbani kwake,
Wewe ukiwa mtupuu huku umekumbatiwa.

Lakini jamaa anawaacha anaondoka zake,
Baadae anarudi,
Mchepuko wako umeshaondoka,
Jamaa yako hakuulizi wala haonyeshi dalili yoyote yakufanya hivyo kibaya zaidi haonyeshi tofauti yoyote ile na maisha yanaendelea
Hapa pakoje?
 
Pako sawa tu.Aliondoka kuogopa kuwavurugia starehe zao/zenu(kama wewe ndio muhusika ila unajificha mgongoni kwa nafsi ya tatu), au ulitaka afanyeje?! Apigane na mchepuko wako? Au akupige baada ya mchepuko kuondoka? Au ulitaka afanyeje?,Kimsingi alifanya sawa tu. Ulianza kuchepukia msituni ( kwa kificho) ukaona haitoshi ukaamua kumleta tunduni ( Nyumbani kwako mnakolala na mtu wako) umefumwa/kafumwa mnaleta hapa. Okashii hontoni. Ningemuona sio tu laiti angekuta jamaa anakubaka halafu kaondoka bila ya kuchukua hatua yoyote, lakini kakukuta umekumbatiwa/kakumbatiwa na mshikaji maana yake ni makubaliano yenu ya hiyari kabisa ndio maana akaamua kushika 50 zake.Labda ninyuti hapa pembeni na kuwapisha wengine wachangie kwa kukuachia swali, ulitaka afanyeje baada ya kumkuta/ kuwakuta(wewe na huyo jamaa) mkifanya uchafu huo?(Kama mwenyewe ulivyosema)
 
Silence is the most dangerous weapon.

I just like using it.
 
VAA VIATU KUWA NI WEWE.
Unae mpenzi wako,
Unampenda balaa na unaamini anakupenda pia kwani anathibitisha kwa vitendo haswaa.
Siku moja wewe, shetani kakupitia na umelazimika 'kuchepuka'.
Baada ya kupiga hesabu zako umejiaminisha kuwa mpenzi wako hawezi kugundua kuwa umemsaliti.

Mapenzi wazimu-Unanogewa,
Mchepuko umekukuna ukakunika,
Sasa umeamua kuchonga Mzinga kabisa,
Unaendelea na mchezo wako huu mchafu.

HAMAD;
Siku moja, Mungu wa jamaa yako mkubwa;
Si- anawafuma laivu mko chumbani kwake,
Wewe ukiwa mtupuu huku umekumbatiwa.

Lakini jamaa anawaacha anaondoka zake,
Baadae anarudi,
Mchepuko wako umeshaondoka,
Jamaa yako hakuulizi wala haonyeshi dalili yoyote yakufanya hivyo kibaya zaidi haonyeshi tofauti yoyote ile na maisha yanaendelea
Hapa pakoje?

Akiendelea kuchovya palepale na yeye nitawashauri ndugu zake wampeleke milembe, maisha yakiendelea huku amesusa uchafu nitamwita kidume cha kukata na shoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom