Ulikuwa unadhalilisha mama na dada zetu ambao hawajaolewa!Ule wimbo " Wanawake wazuriwazuri wameolewa... wamebaki Manunga Embe yanahangaika"
Ule wimbo " Wanawake wazuriwazuri wameolewa... wamebaki Manunga Embe yanahangaika"
Bahati mbaya iliyoukuta huu wimbo huko serikalini juu kulikuwa na manungayembe mengi tu..........enzi unafytauliwa:becky::becky::becky::becky:
Bahati mbaya iliyoukuta huu wimbo huko serikalini juu kulikuwa na manungayembe mengi tu..........enzi unafytauliwa:becky::becky::becky::becky:
Teh teh teh! Mh JF inachekesha na kuburudisha.