Delegate
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 331
- 203
Habari wakuu,
kuna uwezekano wa kujua kama mwanamke amekulisha limbwata au amekupeleka kwa mganga au anatumia dawa zozote za kimapenzi?
Mimi ni grown Man na nimekuwa na mahusiano na wanawake kadhaa katika maisha yangu, kila tukiachana na mwanamke baada ya muda kidogo unakuta namsahau kabisa na maisha yanaendelea,
Lakini nilikutana na mwanamke mwaka juzi na tukadumu kwenye mahusiano kwa miezi mitano tu,matatizo yalipoanza tuliamua kuachana kama kawaida ya binadamu wote wananvyofanya,
Lakini yule mwanamke alirudi na kutaka turudiane kwa kweli sikutaka kurudiana naye kwa sababu kwanza sikumpenda,
Ila aliniambia kama hutaki turudiane ukianza ku feel pain usirudi,kwa kweli sikuelewa maana ya ku feel pain,
Sikutilia maanani neno lile mpaka baada ya week kadhaa baada ya kuachana nilianza ku feel pain kama alivyoniambia,
Nilianza kujisikia kama namtaka tena turudiane,nilijisia kama i miss her in big time,kitu ambacho siyo cha kawaida na sijawahi kupitia mambo kama hayo,
Elewa kwamba mimi sikumpenda kabisa yule mwananmke ilikuwa ni kampani ya kawaida kama zingine,nikaanza kumtafuta kwa kumpigia simu na kumwomba sana turudiane na akakataa kabisa,
Jamani hili siyo jambo la kawaida hata kidogo,nahisi ni nguvu za giza hizi,
Nila nikijiuliza ni kwa nini namtaka tena yule mwananmke sipati jibu,
Nahisi hili ni limbwata au nguvu za giza tu,je umewahi kukutana na mambo kama hayo na je nifanyeje nimsahau kama nilivyosahau wengine ambao niliwapenda kuliko yeye?