Nguvu ya ushawishi

Nguvu ya ushawishi

Unga wa Kitarasa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
398
Reaction score
101
habari za majukumu wakuu..nahitaji utundu kidogo wa kucheza na maneno kuna binti niko naye mbali kimkoa...,sasa bhasi nahitaj kumshawishi aje mkoa nilio mimi hii ni kutokana na mimi kubanwa na majukumu kidogo na nimefanya hivi sababu kubwa ni wazazi wake hawataki apate mtu kutoka tanzania sasa najaribu kumshawishi bila yeye kujua ila shughuli ipo kwa wazazi wake anawaogopa sana kwamba ataaga anaenda wapi...nipeni mbinu wadau..mada mezani hapo twende kaziii yale maswali ya kwamba nina miaka mingapi hayana umuhimu hapa
 
Umesema wazazi wake hawataki mtu kutoka Tanzania,wenyewe ni watu wa wapi?
 
Ucjali kuna wakufunzi wa hayo mambo watakujia sasa hivi kukupa maujuzi
 
Usije mtafutia matatizo mtoto wa watu... Tafuta nafac uende ww
 
wanatokea oman

unamiliki vituo vingapi vya mafuta? una heavy duty trucks ngapi?

ujuwe kwa waarabu mtu mweusi ni laana bila kujali ni dini gani ila ukiwa na vigezo hivyo hapo juu ni added advantage, kama huna vigezo hivyo hapo don't kiss the wind.
 
Aiseeee....!!!
 
Back
Top Bottom