Ma sister du asilimia kubwa wachafu sana.

Ma sister du asilimia kubwa wachafu sana.

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,966
Utamuona amependeza sana kapiga marashi ya maana. Kumbe hasafishi vizuri ndani ya ..........

Ukikuta kafuga kucha ndefu kweli kapaka rangi za maana kwenye kucha. Kila weekend anaenda kuoshwa miguu na vidume. Kucha zake hazifai kuosha sehemu ile.

Cha kushangaza baada ya mechi roomuni harufu ya ajabu itatokea. Vilevile utaona vitu rangi nyeupe kama maziwa mgando!!!?

Sasa ukizuka kwenye geto lake ghafla utakutana na vitu vya ajabu. Nguo hafui kila siku ananunua mpya, khaaaa zinatoa uvundo.

Badilikeni wenye tabia hizo.
 
Acha tu usiwaone wanavyoongea kwa nyodo kuna wengne hata kufua pichu hawawez mpaka wafuliwe ni hatari
 
Hahahah hapa wale watetezi wa wanawake lazma cheche ziwatoke.
 
Utamuona amependeza sana kapiga marashi ya maana. Kumbe hasafishi vizuri ndani ya ..........

Ukikuta kafuga kucha ndefu kweli kapaka rangi za maana kwenye kucha. Kila weekend anaenda kuoshwa miguu na vidume. Kucha zake hazifai kuosha sehemu ile.

Cha kushangaza baada ya mechi roomuni harufu ya ajabu itatokea. Vilevile utaona vitu rangi nyeupe kama maziwa mgando!!!?

Sasa ukizuka kwenye geto lake ghafla utakutana na vitu vya ajabu. Nguo hafui kila siku ananunua mpya, khaaaa zinatoa uvundo.

Badilikeni wenye tabia hizo.


Mkuu hiyo siyo issue kubwa. Mwambie tu. Tatizo ni namna ya kumwambia ili response yake iwe positive. It will take time kubadilika lakini kila unapoona positive sign encourage her with a compliment. Finally atabadilika and she will apprecaite your efforts for life hata kama hatakuwa mkeo baadaye.

Tatizo labda ni kwa wale wa "kupita" tu. Inakuwa ngumu kumwambia sana sana unamkwepa kiana basi!
 
Sister du badilikeni
 
huwa
najiulizaga sana hivi wenzetu hawa wenye kufuga makucha mareefu mikono
yote miwili hivi wanajisafishaje maeneo yao nyeti... ???
 
Nashukuru wa kwangu ni msafi balaa yaani hadi boxer zangu huwa anazinyoosha.
 
Naona una Bahati Mbaya lia sikuwahi kukutana na hicho kiroja mbali na kuwa nao wa kutosha since nikiwa sekondari mpaka sasa. Pia inategemea na dada gani umekutana naye. huwezi kuokota wanaojiuza usiku na mchana, wa bei rahisi, wenye shida za magonjwa ya zinaa na fungus usikutane nao hao wachafu. Kitu chochote ukikiokota jalaaalani hata kikiwa na ubora gani bado kitakuwa kichafu. Ukimchukua punguani au vichaa, wanaoishi mazingira magumu ambapo taha mitaa yao inakuka ni lazima nao waadopt hali hizo. Kwa ufupi mleta maada nadhani una bahati mbaya sana na hao maduu wako ila sio haki unavyoundervalue walio safi. Sasa hao ulokutana nao chumvini hakuendeki, si taabu tupu? wenzio ni viwango unazama bila hiyana na unautiwa mwenyewe.
 
Nilipita maeneo ya Temeke kutokea hospitali kuelekea kwa Azizi Ally, kwenye barabara ya vumbi mtaa mzima ulikwa unanuka huku maji macafu yakiwa na wale funza . vumbi nd mtindo mmoja, niliwaza sana na nilfika mahali nikafunga pua kwa handkerchief. Sasa kwa wanaoishi maeneo haya kwa kweli hali mleta maada aliyoipost ni lazima itokee kwa kuwa maji machafu yanaharibu atmosphere ya pale maeneo na wengine ndo hivyo maisha magumu hata razor hana uwezo wa kunununulia achilia mbali mkasi. Labda zipunuzwe kwa kuzichoma.
 
usiombe ukutane na demu wa namna hii,,, unaweza ukamkimbia aisee
 
Back
Top Bottom