nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 444
1.acheni visirani majumbani
2.msitunyime eti mmechoka
3.msiwe na midomo mirefu
4.hakuna mapenzi ni matatizo tu
5. Mtuheshimu kwa kuwa si ndio tulioamua kuwaoa
6.msichukie ndugu zetu
E.t.c
2.msitunyime eti mmechoka
3.msiwe na midomo mirefu
4.hakuna mapenzi ni matatizo tu
5. Mtuheshimu kwa kuwa si ndio tulioamua kuwaoa
6.msichukie ndugu zetu
E.t.c