Ya kweli hii?

Ya kweli hii?

adinag

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
87
Reaction score
11
habari wakuu:, ma X kaniwish happybirthday leo na pia leo ni siku ambayo miaka 5 nyuma ndio tulianzisha mapenzi. Ni miezi 7 sasa toka tumetengana. Je anisanifu aone nitajibu nn? Kama sio nisaidieni jinsi ya kumjibu
 
...labda kakumbuka utamu wa papuchi yako anaanza kujipitishapitisha ili umuonee huruma na kumgawia japo kiduchu tu, mwambie ARIE TU.

 
Last edited by a moderator:
we sema unamtamani tamani apo unajisheua tu uku..kwani ukimjibu asante haitoshi??
 
Mtu kakuwish happy birthday unauliza umjibu nini makubwa
mjibu merry christmass...
 
habari wakuu:, ma X kaniwish happybirthday leo na pia leo ni siku ambayo miaka 5 nyuma ndio tulianzisha mapenzi. Ni miezi 7 sasa toka tumetengana. Je anisanifu aone nitajibu nn? Kama sio nisaidieni jinsi ya kumjibu[/QUO



Ulistahiri kuachwa kama ishu ndogo kama hii unaleta Jf.
 
kwan hujapenda alivyokuwish ama? au had upate ushauri humu ndio uipokee
 
Back
Top Bottom