limbende
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,038
- 621
Jamani wanajamvi hamjambo!
Mwenzenu yamenikuta,ninampenzi wangu wa muda mrefu na tulikubaliana tufunge ndoa mwezi wa kumi mara tu nimalizapo ujenzi wa nyumba ya kuishi,
Kila siku namkataza asiende disco lakini mwenzangu kuna wakati anatulia lakini sasa amefikia hatua ikifika jumatano anajigombanisha na anaenda kulala kwao ili ijumaa aende disco.
Kwa kweli nimemvumilia sana na nampenda ila kwa kitendo cha kwenda disco.
Kiliniuma sana na nikamwambia mim nimeshindwa nimeghail yeye akajibu poa.
Naomba ushauri kwa hili na sipendi matusi kwani mwenzenu,nimevurugwa.