Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hodi kwa mara nyingine tena wana jamii, Bila shaka mu wazima wa afya tele. Ndugu zangu nimekuja jukwaani hapa kwa mara nyingine nipate msaada wenu wa kimawazo ni kwa namna gani naweza kuvuka huu...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nioneeni huruma wadada 0783601111
0 Reactions
22 Replies
2K Views
1st year Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Mahusiano Ulionayo Muda Huu Ndio Yatakayoelezea NDOA Yako Ya Baadaye Hivyo Kuwa Makini Na Mahusiano Uliyonayo Sasa Kaa Ukijua Huwezi Kumbadilisha Mtu Kwenye Ndoa Hata Kama Wampenda Sana Dunia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wa JF, Miezi sita iliyopita nilibahatika kuoa mwanamke mmoja wa kiislam ambapo tulifunga ndoa ya kiislam. Katika mahusiano ya uchumba nilimuona ni muwazi na ana akili za kimaendeleo ndipo...
3 Reactions
144 Replies
18K Views
Kuna ndugu yangu kaolewa ila tangu kaolewa anaishi na wifi zake kila mara maneno mara mchafu mara mvivu anaroho mbaya.nIkafikia kipindi mpaka pesa ya chakula hapewi yeye anapewa wifi yake ambae...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
I was broken before, I am broken again. And "Love" is the reason behind this pain !!I have Tears in eyes, and a guilt inside.This is because i have trusted awrong man ! His love and affection...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
habar za muda huu! kuna dada mmoja tumependana sana,,,anataka tuoane ila tatizo ni kwamba wazaz wake na wazazi wangu ni majiran sana! je km nikimuoa kuna madhara yanaweza kujitokeza?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sifa hizi ni miongoni ambazo zinakuonyesha mwanamke anakupenda 1. Muda mwingi anapenda kuwa karibu na wewe 2. Ni rahisi kuomba msamaha akikukosea 3. Mara nyingi huwa na furaha sana akiongea na...
2 Reactions
64 Replies
24K Views
Mke: Mbona hawa Brazil hawamchezeshi Neymar ?? Mme: aliumia mechi iliyopita, hawezi kucheza mke: mbona hawajamkodi MESSI?? Mme: hairuhusiwi kukodi... Hizo sio nyumba za kupanga kwamba unahamia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
It is great being a member to this grand forum. Leo ni miaka saba (7) tangu nimejiunga na forum hii. Katika kipindi chote hiki nimejifunza mengi sana na hakuna siku hata moja nimeingia JF nikatoka...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa wale wafanyakazi wanaotegemea mshahara ukiona una mpenzi ambaye kipindi chote hakutafuti wala kukujulia hali mpaka karibia na mwisho wa mwezi ambapo anajua unapata pesa ndo anaanza sms za mara...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
A man was broken hearted when he caught his wife cheating a few days after their wedding. The man was devastated that his newlywed wife was cheating on him within the first month of their...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta msichana mrembo mwenye miaka 18-19. anicheki 0719665022, email. crissalex1@live.com
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wadau... Nimekaa nimefikiriaaa, nimegundua kuwa mwanaume hayupo tayari kuzidiwa kitu chochote na mwanamke zaidi ya uzuri. Ukimzidi uzuri mumeo mtaishi kwa amani lakini usiombe umzidi...
7 Reactions
192 Replies
14K Views
Habari zenu ........ Natumai ni wazima kwa wale ambao ni wagonjwa poleni sana na nawaombeeni mpone haraka Kuna jambo ambalo limekuwa linawasumbua sana wadad wengi ambao wako kwenye mahusiano a...
11 Reactions
86 Replies
8K Views
Kuna rafiki yangu kaolewa hana mwaka ktk ndoa yake,wamepanga chumba na sebule,choo ndani,uwezo wao wa kawaida sana sasa ndugu wa mumewe kampigia sm mumewe anataka kuja aishi maana ana hamu ya...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Yaweza Kuwait swali rahisi sana lakini ukashindwa kujibu Kuwa kati ya kuku na yai ni kipi kilianza ?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanamke ni kama jiko la umeme au pasi ya umeme ila mwanaume ni kama jiko la gas. Ukifanya kikuku kuku unategemea nini? Kumuumiza? Ajute? Mwanamke kibiologia anapenda sana kuwa huru na mumewe...
3 Reactions
100 Replies
7K Views
Back
Top Bottom