myhny
Senior Member
- May 27, 2014
- 123
- 23
Kuna ndugu yangu kaolewa ila tangu kaolewa anaishi na wifi zake kila mara maneno mara mchafu mara mvivu anaroho mbaya.nIkafikia kipindi mpaka pesa ya chakula hapewi yeye anapewa wifi yake ambae dada wa mume wake imeenda.
Ikafika siku mume wake kasafiri wamebishana acha huyo wifi ampige( maryam jina la huyo ndugu yangu )ikabidi aondoke aende kwa mama ake mkubwa kwao inakuwa mkoani yeye anakaa Dar bahati nzuri na mama ake mzazi alikuwepo.
Mumewe alivyorudi kikaitwa kikao akasema hawezi kukaa na wifi zake bora awaachie nyumba wakapange chumba na mumewe au arudi kwao.mKesi ikaisha suluhisho mawifi wataenda kwa mama yao mkubwa .
Wamekaa siku kama mbili kumbe mama mkwe na baba mkwe wanamwambia mtoto wao watampa radhi kama hatamrudisha huyo msichana kwao mwanamme anampenda mke wake ila dada zake na wazazi wake wote wamemkasirikia.
Ikabidi amrudishe mwanamke kwao kwa kisingizio anasafiri kikazi kumbe kusafiri hajasafiri na mwanamke yuko kwao na taraka hajatoa ushauri jamani samahanini kwa usumbufu.