Chamachama
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 200
- 129
Kuna rafiki yangu kaolewa hana mwaka ktk ndoa yake,wamepanga chumba na sebule,choo ndani,uwezo wao wa kawaida sana sasa ndugu wa mumewe kampigia sm mumewe anataka kuja aishi maana ana hamu ya kuishi dar na hajawahi kufika dar,sasa mume kamueleza mkewe rafiki yangu hana jibu maana mume anajua mazingira yaliyopo,na mke akimkatalia ndo yale yale italeta picha hapendi ndugu wa mume jamani huyu mtu tunamsaidiaje je ni haki hiyo?