Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,290
Mke: Mbona hawa Brazil
hawamchezeshi Neymar ??
Mme: aliumia mechi iliyopita,
hawezi kucheza
mke: mbona hawajamkodi
MESSI??
Mme: hairuhusiwi kukodi... Hizo sio nyumba za kupanga
kwamba unahamia tu,mpaka uwe
una uraia waNchi yako.
Mke: mbona hadi wanawake
wanacheza humo uwanjani?
Mme : Wapo wapi hao wanawake?
mke: Si hao wa Brazil wenye
nywele ndefu?
Mme: Hapana hao ni
Wanaume wanaitwa David
Luiz na WILLIUM
mke: Mbona hao wengine
wanapiga Penalty tano wenyewe?
eti Refa anapendelea?
mme: Hakuna Penalty hapo ni
magoli,Brazil wamezidiwa
wanafungwa..
mke: Mbona Goli 7 ni nyingi
na ni Dk ya 80, kwanini refa
hamalizii tu hapo si bingwa
alishajulikana.
mme: sheria ya mpira mpaka Dk
90 zitimie..
mke: Huu si mpira wa miguu??
mme: Ndio we unaonaje?
mke: mbona huyo mwingine
anadaka na mikono?
Mme: huyo ni kipa
mke: kwann huyu Kipa wa
Brazil asikimbie na mpira adi goli
jingine alafu afunge apunguze
magoli au hajui huo ujanja?
Mme: kanyonyeshe mtoto
ameamka...
Source: Copy and Paste!
hawamchezeshi Neymar ??
Mme: aliumia mechi iliyopita,
hawezi kucheza
mke: mbona hawajamkodi
MESSI??
Mme: hairuhusiwi kukodi... Hizo sio nyumba za kupanga
kwamba unahamia tu,mpaka uwe
una uraia waNchi yako.
Mke: mbona hadi wanawake
wanacheza humo uwanjani?
Mme : Wapo wapi hao wanawake?
mke: Si hao wa Brazil wenye
nywele ndefu?
Mme: Hapana hao ni
Wanaume wanaitwa David
Luiz na WILLIUM
mke: Mbona hao wengine
wanapiga Penalty tano wenyewe?
eti Refa anapendelea?
mme: Hakuna Penalty hapo ni
magoli,Brazil wamezidiwa
wanafungwa..
mke: Mbona Goli 7 ni nyingi
na ni Dk ya 80, kwanini refa
hamalizii tu hapo si bingwa
alishajulikana.
mme: sheria ya mpira mpaka Dk
90 zitimie..
mke: Huu si mpira wa miguu??
mme: Ndio we unaonaje?
mke: mbona huyo mwingine
anadaka na mikono?
Mme: huyo ni kipa
mke: kwann huyu Kipa wa
Brazil asikimbie na mpira adi goli
jingine alafu afunge apunguze
magoli au hajui huo ujanja?
Mme: kanyonyeshe mtoto
ameamka...
Source: Copy and Paste!